Mapishi Yangu

na wanaweza wakapokea wakakupa jibu mpaka unashangaa bei sasa,ubaya wa pale ijumaa hekaheka watu wa mjini wote wapo pale mimi naonaga bora kuagiza boda unalia home kuna hekaheka sana pale
Mi naendaga pale pale ndo naenjoy. Sema ndo watu wa mjini kama wote sasa.
 
Reactions: amu
Hata na kijiko zinalika. Sasa mimi nikana ntamsumbua mtoto kuvuta mavitu marefu

Unamfundisha mtoto mapema na ataweza, tena wana enjoy wakijua wanakuzungusha uma. Mimi wangu walipokuwa babies wanakua walijua kitumia uma pia kwa kinacholiwa na uma.

Wanakua wanajua mengi bila kuhitaji kujifunza ukubwani.
 
Sawa maa. Nitaanza mfundisha kidogo kidogo.
 
kutakua na kiporo nije?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…