Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani.
Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama kukomaa kimekomaa zaidi ya CCM ni vile tu serikali haitaki kuruhusu uchaguzi huru maana hata wanachama wa Chadema wamekomaa kuliko wa CCM hii ni kutokana na misukosuko ya Viongozi wao, na wao kupigwa mabomu kashikashi za jeshi la polisi kuzurumiwa haki zao na mambo mengi.
Kiasi kwamba imekuwa sawa na mtoto yatima anayetaka kuanza kujitegemea,tofauti na CCM sawa na toto lilokuliya kwa wazazi wake likaolea na kuzalia kwa wazazi wake sasa wazee wameshazeeka umri wa kufa umefika anafikiria ataanzaje kwenda kuanza maisha upya, wamejaa uoga kila sehemu sababu tu Gwajima na Polepole wanawapiga spana.