Unayoongea wewe upo sahihi, halaf kizuri sisi wananchi hatujali nani anatuongoza, Ili mradi awe mtanzania, alinde Mali zetu, aweke haki na Amani. Hata kikiwa Chama Gani au mtu Gani si tatizo kwetu wananchi wa kawaida.
Shida IPO Kwa waliozea tamu ya madaraka,