Uchaguzi 2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Unapajua chato au unabwabwaja tu, hiyo ni chato na nilikuwepo hivyo punguza muwasho
 
Akiwa sawa na tundu lissu afadhali kufilia mbali nikamzika. Mtu anayetumia watu ili anufaike wanini Kuishi hapa duniani
Nina uhakika Kabla ya kuisha mwaka huu lazima Kuna mwanafamilia wako atakufa Kabla ya LISSU ili tu Mungu adhihirishe ukuu wake kwako!Unaombea mke wa Baba yako age anakufa Mama yako
 
Jiwe hakubaliki nyumbani,ugenini na ughaibuni! Mabango yatampigia kura.
 
2014 chadema ilishinda karibu vijiji vyote hapo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa , kikiwemo kijiji anachoishi Magufuli wakati huo akiwa mbunge na Waziri
 
Si nasikia amepopolewa mawe!! Hii nyomi ya kutengeneza au? Lakini msema kweli ni tarehe 28/10/2020! Mwaka 2015 tuliona nyomi za Lowassa zilikuwa kufuru siyo hizi za Mbelgiji Lissu lakini Lowassa akaangukia pua sijui huyu Mbelgiji ataanguka kifudifudi au kwa tumbo ili mabwana zake wamalizie kazi.
 
Wale wa akili za kushikiwa na wenzao hawawezi kukuelewa Hadi baada ya oct.28
 
Mwenye kuona na aone. "People are expressing their agony and grief in action".
 
Na hapo hakuna bango , radio wala tv station inayotangaza uwepo wa huo mkutano, habari zake zinasambaa kama moto wa nyikani.
Pia hakuna fiesta wala mdundiko.. Aliwasusa Kilimanjaro, Arusha, Mbeya na Kagera, sasa aongeze Geita, Mwanza, Shinyanga na Singida.. Kazi anayo mzee wa visasi
 
Jiwe Hakuwa kushinda ubunge hata kwao hakubaliki thus kwa kumfanyia figisu mgombea wa chadema kwa kushirikiana na mkurugenzi ajjifiche Hadi mda wa kurejesha form ukapita akajipitisha bila kupingwa, thus ana chuki Sana na chadema haikuanza leo.
 
Kutendewa jambo hili mahali ambapo ndio kama shina lako lilipo linakufunulia jambo kubwa sana ambalo unapaswa kutulia na kulitafakari kwa kina

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka desturi ya sisi wasukuma hua ni ukarimu wa kukaribisha wageni na kuwasikiliza ulifikiri hawata mpokea lisu maamuzi hua tunayo moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…