Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Sijawahi kuwa na msongo na sledi za JF wala wivu kwa id feki.Ila wewe ni chawa mnene zaidi ya ndama kwa hakika.
Mimi ni msema kweli Daima na siyo chawa na sijawahi kuwa chawa.Sijawahi kuwa na msongo na sledi za JF wala wivu kwa id feki.Ila wewe ni chawa mnene zaidi ya ndama kwa hakika.
Na wewe utawapa ushauri huo Tlp ukitaka maana hayati Mrema alikuwa ndio TLP na TLP ndio ilikuwa Mrema.Kwanini CHADEMA TU na sio TLP
Angalia kwenye kioo utamuona chawa.Mimi ni msema kweli Daima na siyo chawa na sijawahi kuwa chawa.
Kwa wachuna ngozi hukoNdugu zangu Watanzania,
Kwa mapokezi makubwa ,mazito na ya heshima aliyoyapata na kupewa Rais Samia alipokanyaga ardhi ya Mkoa wa Songwe ,kwa hakika nawashauri CHADEMA wasijaribu wala kusubutu kusimamisha Mgombea Urais uchaguzi ujao.maana wakijaribu na kupuuzia ushauri huu watakwenda kuvuna aibu ambayo haijawahi kutokea katika Taifa letu Tangia mfumo wa vyama vingi uanze na kuasisiwa hapa Nchini.
Nimeshuhudia kwa macho yangu Mwenyewe maelfu kwa maelfu ya wananchi wakimiminika kwa bashasha, matumaini, tabasamu na furaha kubwa katika nyuso zao,kwenda kumlaki Rais Samia wilayani Mbozi eneo la mji mdogo wa Mlowo .mapokezi ambayo hayajawahi kutokea wala kufanyika.
Yalikuwa ni mapokezi ya aina yake,palikuwa hakuna mahali pa kukanyaga wala kuweka mguu wako endapo utatoa mguu wako ulipokuwa umeweka Awali. Ilikuwa mkiachana na mwenzako hatua moja basi humuoni tena mpaka upige labda simu tena simu iwe na sauti kubwa na vibration,maana ilikuwa ni shangwe ,nderemo na vifijo muda wote kutoka kwa wananchi waliofurika kwa maelfu.
Rais Samia anakubalika zaidi ya pesa halali ya Mtanzania au Dollar ya Mmarekani .anapendwa na kuungwa mkono utafikiri ametoka kuipatia nchi uhuru,.Muda wote watu walikuwa wanasema huyu ni Mama wa Taifa letu. Nimeshuhudia wale wanaojiitaga wapinzani wakitamani wapewe nafasi ili wajiunge na CCM leo leo na kuungana na Rais Samia katika ujenzi wa Taifa letu.
Wana Mlowo ,wana Mbozi na wana Songwe ambao asilimia kubwa ni wakulima mioyo yao imejaa furaha baada ya Rais Samia kutangaza uamuzi mzito wa kupandisha bei ya mahindi kwa kilo kufikia shilingi Mia 7.jambo ambalo limeinua Matumaini na morali kubwa sana kwa wakulima ambao wanaona neema imewashukia.
CHADEMA jikiteni na kuelekeza nguvu zenu katika kuokoteza Wabunge ,ambako mnaweza kubahatisha kupata hata Wabunge watatu,lakini huku kwenye Urais futeni na ondoeni kabisa ndoto hizo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3045598View attachment 3045600View attachment 3045601View attachment 3045602
Internet haipigi kura- muulize Steve Nyerere alikuwa na like 42m kwenye uchaguzi akapata kura 1 akalia na wajumbeHalafu siku ya uchaguzi mnazima internet na kuengua wagombea wa CHADEMA
Halina akili hiloAngalia kwenye kioo utamuona chawa.
Jukumu kuu la UWT ni kupambana na CHEDAMAKwanini CHADEMA TU na sio TLP
Malkia wao ni huyu mnywamnywa Lucas Mwashambwa.Tz inaharibiwa na Machawa na makunguni!
Hapa JF tutamuambukiza akili njema hadi tuone kama ni wa kuzaliwa nao au ni mdumavu tu.Halina akili hilo
Watu mna maneno!😂Hapa JF tutamuambukiza akili njema hadi tuone kama ni wa kuzaliwa nao au ni mdumavu tu.
Ni mama mtu mzima hawezi kubadilika tenaHapa JF tutamuambukiza akili njema hadi tuone kama ni wa kuzaliwa nao au ni mdumavu tu.
Kwa habari fiche (za kiintelijensia)nimeambiwa mna ushirika na yeye!Refer;wimbo wa Christina Shusho.Watu mna maneno!😂
Wajinga sn haoHalafu siku ya uchaguzi mnazima internet na kuengua wagombea wa CHADEMA
Kwamba ametumia zaidi ya 1B kwenda kutoa msaada wa mguu wa bandia kama vile hakuna viongozi wengine hapo?
Ndugu zangu Watanzania,