peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011. Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu. Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...