Mapokezi ni Babkubwa Rais Samia Visiwa vya Karafuu Pemba Januari 7, 2022

Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Karibu Mama Jemedari Mkuu, Umethubutu, Unaweza, Umeweza hakuna kama Mama, Tunakupenda sana

View attachment 2070629
Mungu mjaalie rais hekima atuongoze kwa busara.

Hongera zake kawafariji wapemba wameumizwa miongo mitatu bila huruma.
 
Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Karibu Mama Jemedari Mkuu, Umethubutu, Unaweza, Umeweza hakuna kama Mama, Tunakupenda sana

View attachment 2070629
Kila la heri kwenye ziara mh.SSH
 
Back
Top Bottom