Mapokezi Rasmi ya Rais Samia Nchini China

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022

=====

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
 
Tunasubiri kusikia juu ya Makubaliano baina ya wadau hawa wawili wa maendeleo wa muda mrefu.

TOKA MAKTABA:
Ambassador Chen Mingjian gives an exclusive interview to Channel Ten
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022

Samia anajipelekapeka tu,au amekwenda kupitia mikataba ya gesi iliyosainiwa usiku usiku 😷 nisije kutekwa bure ngoja ninyamaze
 
Hizo ndizo ziara za Rais wa Tanzania anapaswa kufanya na hivyo ndivyo nchi mwenyeji anavyopaswa kumpokea Rais wa nchi kama Tanzania.
 
Mwendo wa kutembeza bakuli..wale wa mapokezi uwanja wa JNIA wajiandae mana awamu hii atakuja tena navijipesa kidogo kama kawaida yake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022

Rais Samia Suluhu amepokelewa kwa heshima kubwa sana hongera sana mama kwa kuendelea kuimarisha diplomasia ya uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…