Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
Hivi Mangula lile shati lake la ndege alilovaa ikulu ya Kikwete na ile suruali ya mchele mchele na Raba mtoni sijui bado analo ?
Unaelewa maana ya shule? Hivyo ilivyokariri ukiwa shuleni, vingi vimeandikwa na kugundulika na watu wenye akili na ambao hawakukaa miaka mingi shuleni kama wewe.Atakuwa lofa zaidi yangu maana shule yenyewe kaungaunga!
🖕🖕🖕🖕🖕🖕Hamna lolote hapo mambo na kauli ni zilezile.
Kulialia na kudakia hotuba za viongozi makini wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Mangula alitia Aibu. Mkuu hebu pandisha ule uzi wa Mangula alipoenda ikulu ya kikwete na ile. Suruali ya mchele..mchele....na raba mtoni tu flush back!!!!Hivi Mangula lile shati lake la ndege alilovaa ikulu ya Kikwete na ile suruali ya mchele mchele na Raba mtoni sijui bado analo ?
Mnacheza Mungu kama shemeji yenu na kumtumia kwenye siasa zenu za ovyo ovyo!!!Yesu akauliza, je mwamkataa shetani na mambo yake yote? semeni tunamkataa, je mwaikataa ccm na mambo yake yote ......??
🖕🖕🖕🖕🖕Mnacheza Mungu kama shemeji yenu na kumtumia kwenye siasa zenu za ovyo ovyo!!!
Upeo wako ndio hapo...🖕🖕🖕🖕🖕
KIKWETE KWANINI UKA TULETEA MAGUFURIUpeo wako ndio hapo...
Unaelewa maana ya shule? Hivyo ilivyokariri ukiwa shuleni, vingi vimeandikwa na kugundulika na watu wenye akili na ambao hawakukaa miaka mingi shuleni kama wewe.
**** watu ni super intelligent. Super intelligents hawahitaji kukaa miaka mingi darasani ila yale wanayoyajua, wenye akili average na below average kama wewe, wanahitaji kukaa darasani kwa miaka mingi ili kuyaelewa.
Professors wetu hapa kama akina Kibudu au Banana ni average people. Hutumia muda mrefu kufanyia itafiti kazi zilizofanywa na super intelligents. Kwenye writeups zao utakuta quotes nyingi za hawa super intelligents, ambao mara nyingi siyo professors wala doctors.
Kwa waliowahi kuwa marais wa Tz, ni Mwalimu Nyerere pekee yake alikuwa super intelligent. Hakuwa na PhD lakini aliandika vitabu vingi ambavyo average mind professors na doctors wetu, mpaka leo huvinukuu.
Sifa kubwa ya Super intelligents hawapendi kukariri mambo ya watu wengine bali hupenda kugundua vitu vyao na falsafa zao, ambazo watu wengine watalazimika kukaa darasani kujifunza.
Mnyika inawezekana hajakaa darasani kwa miaka mingi lakini nina hakika ana elimu kubwa kuwazidi maprofesa na madokta wetu wengi ambao wamejaa unafiki, na hakuna chochote wanachokisimamia. Hawa ndio ambao Mh. Rais alisema mara nyingi amewaambia wapumbavu.
Tunaikataa ccm na mambo yake yote.Mnacheza Mungu kama shemeji yenu na kumtumia kwenye siasa zenu za ovyo ovyo!!!
Mwanangu tuingie kitaa tu.Yani huyu mtoto anataka waandishi wa Habari ndio waidai tume huru?
Yani Magufuli akubali kutoa tume huru kisa waandishi hawa anaowapoteza kimya kimya kina azori yani anaweza kuwafanya anachokitaka na asiambiwe kitu.
Kiufupi huyu mtoto muambieni sisi tunasubiri tamko lake tuingie kitaa kama Tehran huko kudai tume huru.
Tatizo chadema waoga sana.
Kuna wana wameingia kitaa iraq, na iran nchi ina mavita daily ila watu wapo kitaa.
Chadema wanapenda kujifungia kwenye viyoyozi
Good commentUnaelewa maana ya shule? Hivyo ilivyokariri ukiwa shuleni, vingi vimeandikwa na kugundulika na watu wenye akili na ambao hawakukaa miaka mingi shuleni kama wewe.
**** watu ni super intelligent. Super intelligents hawahitaji kukaa miaka mingi darasani ila yale wanayoyajua, wenye akili average na below average kama wewe, wanahitaji kukaa darasani kwa miaka mingi ili kuyaelewa.
Professors wetu hapa kama akina Kibudu au Banana ni average people. Hutumia muda mrefu kufanyia itafiti kazi zilizofanywa na super intelligents. Kwenye writeups zao utakuta quotes nyingi za hawa super intelligents, ambao mara nyingi siyo professors wala doctors.
Kwa waliowahi kuwa marais wa Tz, ni Mwalimu Nyerere pekee yake alikuwa super intelligent. Hakuwa na PhD lakini aliandika vitabu vingi ambavyo average mind professors na doctors wetu, mpaka leo huvinukuu.
Sifa kubwa ya Super intelligents hawapendi kukariri mambo ya watu wengine bali hupenda kugundua vitu vyao na falsafa zao, ambazo watu wengine watalazimika kukaa darasani kujifunza.
Mnyika inawezekana hajakaa darasani kwa miaka mingi lakini nina hakika ana elimu kubwa kuwazidi maprofesa na madokta wetu wengi ambao wamejaa unafiki, na hakuna chochote wanachokisimamia. Hawa ndio ambao Mh. Rais alisema mara nyingi amewaambia wapumbavu.
Du! UCCM unatupofusha macho kwa kweli!Hamna lolote hapo mambo na kauli ni zilezile.
Kulialia na kudakia hotuba za viongozi makini wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukuwaachia Waandishi pekee , bali tunataka ushiriki wa kila mwenye pumzi kwenye kudai Tume Huru ya uchaguziYani huyu mtoto anataka waandishi wa Habari ndio waidai tume huru?
Yani Magufuli akubali kutoa tume huru kisa waandishi hawa anaowapoteza kimya kimya kina azori yani anaweza kuwafanya anachokitaka na asiambiwe kitu.
Kiufupi huyu mtoto muambieni sisi tunasubiri tamko lake tuingie kitaa kama Tehran huko kudai tume huru.
Tatizo chadema waoga sana.
Kuna wana wameingia kitaa iraq, na iran nchi ina mavita daily ila watu wapo kitaa.
Chadema wanapenda kujifungia kwenye viyoyozi
yeye mwenyewe anapumulia machineKIKWETE KWANINI UKA TULETEA MAGUFURI