Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chadema Mh Mnyika yatikisa Kibamba, awaasa wanahabari kupigania Tume huru ya uchaguzi, Kabendera na Magoti watajwa

Atakuwa lofa zaidi yangu maana shule yenyewe kaungaunga!
Unaelewa maana ya shule? Hivyo ilivyokariri ukiwa shuleni, vingi vimeandikwa na kugundulika na watu wenye akili na ambao hawakukaa miaka mingi shuleni kama wewe.

**** watu ni super intelligent. Super intelligents hawahitaji kukaa miaka mingi darasani ila yale wanayoyajua, wenye akili average na below average kama wewe, wanahitaji kukaa darasani kwa miaka mingi ili kuyaelewa.

Professors wetu hapa kama akina Kibudu au Banana ni average people. Hutumia muda mrefu kufanyia itafiti kazi zilizofanywa na super intelligents. Kwenye writeups zao utakuta quotes nyingi za hawa super intelligents, ambao mara nyingi siyo professors wala doctors.

Kwa waliowahi kuwa marais wa Tz, ni Mwalimu Nyerere pekee yake alikuwa super intelligent. Hakuwa na PhD lakini aliandika vitabu vingi ambavyo average mind professors na doctors wetu, mpaka leo huvinukuu.

Sifa kubwa ya Super intelligents hawapendi kukariri mambo ya watu wengine bali hupenda kugundua vitu vyao na falsafa zao, ambazo watu wengine watalazimika kukaa darasani kujifunza.

Mnyika inawezekana hajakaa darasani kwa miaka mingi lakini nina hakika ana elimu kubwa kuwazidi maprofesa na madokta wetu wengi ambao wamejaa unafiki, na hakuna chochote wanachokisimamia. Hawa ndio ambao Mh. Rais alisema mara nyingi amewaambia wapumbavu.
 
Hivi Mangula lile shati lake la ndege alilovaa ikulu ya Kikwete na ile suruali ya mchele mchele na Raba mtoni sijui bado analo ?
Hahaha Mangula alitia Aibu. Mkuu hebu pandisha ule uzi wa Mangula alipoenda ikulu ya kikwete na ile. Suruali ya mchele..mchele....na raba mtoni tu flush back!!!!
 
Yesu akauliza, je mwamkataa shetani na mambo yake yote? semeni tunamkataa, je mwaikataa ccm na mambo yake yote ......??
Mnacheza Mungu kama shemeji yenu na kumtumia kwenye siasa zenu za ovyo ovyo!!!
 
Yani huyu mtoto anataka waandishi wa Habari ndio waidai tume huru?
Yani Magufuli akubali kutoa tume huru kisa waandishi hawa anaowapoteza kimya kimya kina azori yani anaweza kuwafanya anachokitaka na asiambiwe kitu.
Kiufupi huyu mtoto muambieni sisi tunasubiri tamko lake tuingie kitaa kama Tehran huko kudai tume huru.

Tatizo chadema waoga sana.
Kuna wana wameingia kitaa iraq, na iran nchi ina mavita daily ila watu wapo kitaa.
Chadema wanapenda kujifungia kwenye viyoyozi
 
Mwambie huyo
Unaelewa maana ya shule? Hivyo ilivyokariri ukiwa shuleni, vingi vimeandikwa na kugundulika na watu wenye akili na ambao hawakukaa miaka mingi shuleni kama wewe.

**** watu ni super intelligent. Super intelligents hawahitaji kukaa miaka mingi darasani ila yale wanayoyajua, wenye akili average na below average kama wewe, wanahitaji kukaa darasani kwa miaka mingi ili kuyaelewa.

Professors wetu hapa kama akina Kibudu au Banana ni average people. Hutumia muda mrefu kufanyia itafiti kazi zilizofanywa na super intelligents. Kwenye writeups zao utakuta quotes nyingi za hawa super intelligents, ambao mara nyingi siyo professors wala doctors.

Kwa waliowahi kuwa marais wa Tz, ni Mwalimu Nyerere pekee yake alikuwa super intelligent. Hakuwa na PhD lakini aliandika vitabu vingi ambavyo average mind professors na doctors wetu, mpaka leo huvinukuu.

Sifa kubwa ya Super intelligents hawapendi kukariri mambo ya watu wengine bali hupenda kugundua vitu vyao na falsafa zao, ambazo watu wengine watalazimika kukaa darasani kujifunza.

Mnyika inawezekana hajakaa darasani kwa miaka mingi lakini nina hakika ana elimu kubwa kuwazidi maprofesa na madokta wetu wengi ambao wamejaa unafiki, na hakuna chochote wanachokisimamia. Hawa ndio ambao Mh. Rais alisema mara nyingi amewaambia wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanangu tuingie kitaa tu.
 
Good comment
 
Hatukuwaachia Waandishi pekee , bali tunataka ushiriki wa kila mwenye pumzi kwenye kudai Tume Huru ya uchaguzi
 
Mimi ni mkazi wa jimbo la kibamba,to be honest mnyika inabidi afanye kazi kuwashawishi wakazi wa kibamba upande wa mbezi ili wampe kura,maana tangu achaguliwe hamna cha maana alichofanya na hajaonekana huku toka 2015,anadeal sana na upande wa goba kule,ajipange hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom