Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chadema Mh Mnyika yatikisa Kibamba, awaasa wanahabari kupigania Tume huru ya uchaguzi, Kabendera na Magoti watajwa

umesikika
 
Siasa wakati mwingine ni vichekesho. Vikao vy CHADEMA vimefanyika DAR; Mh Mnyika anaishi Dar sasa kusema ndio kafika jimboni kwa mara ya kwanza ina maana awapo Dar halali nyumbani kwake ambako ndiko jimboni kwake?
 
Kulala nyumbanii si kulala jimboni .
 
Akili mgando hizi, kwani maisha ni kuwa mbunge tu, mbin kazii zipo nyingi sana za kufanya kwenye chama istoshe akikosa ubunge ndio atatumikia mafasi ya ukatibu vema
 
Mange mlimwingiza chaka, Dar nzima wakajitokeza watu 9 tu. Wengine wakajibanza kwenye Keyboard zao kwenye vyumba vyao vya uani.
Waliandamana wale wa mabakamabaka na mapoliccm walijaa njiani, isicheze na ngoma ya Mange, tulilala zetu ndani huku tukiwaangalia walivyopigishwa kwata na Mange yuko US? Nani mwenye akili hapo??
 
Mnyika siyo Dr. Lakini anamzidi Dr. bashiru kwa vitu vingi kama vile weledi, busara, utu, hekima, maarifa, na mengine yanayofanana na hayo.
 
Katiba mbovu ambayo hata hivyo hawaifuati na tume isiyo huru ya uchaguzi ndio karata ya mwisho ya CCM kubaki madarakani.CCM kuruhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni kuruhusu kuondolewa madarakani. Hawawezi ruhusu!
 
Waliandamana wale wa mabakamabaka na mapoliccm walijaa njiani, isicheze na ngoma ya Mange, tulilala zetu ndani huku tukiwaangalia walivyopigishwa kwata na Mange yuko US? Nani mwenye akili hapo??
Mwenye akili ni yule tu anayejua kuwa ule haukuwa mpango dhamiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…