Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,350
- 26,166
Umeshaanza kuniweka CHADEMA. Pathetic!Kwa hiyo sasa hivi tume huru si kigezo cha kushindwa tena.?
Bali Lisu anakubalika sana na mtashinda!
We unaonaje?Kwa hiyo sasa hivi tume huru si kigezo cha kushindwa tena.?
Bali Lisu anakubalika sana na mtashinda!
Kwani hii mada yako si inahusu siasa za vyama?Umeshaanza kuniweka CHADEMA. Pathetic!
Subiri oktoba ntatoa maoni yanguWe unaonaje?
Uwe unasoma na kuelewa Mkuu. Pia, ikiwa unasoma mada humu usiweke mbele kama tai uchama, hautakuwa unaelewa au kuupata ujumbe. Nimesema upepo ndani ya CHADEMA.Kwani hii mada yako si inahusu siasa za vyama?
Ok.. Wewe siyo chadema..
Vipi mafuriko haya ya Lisu leo ndio ushindi wenyewe? Maana upepo umebadirika.
Naona kwenye kila thread ya chadema umo tu unautikisa mkia wako!!Kwa hiyo sasa hivi tume huru si kigezo cha kushindwa tena.?
Bali Lisu anakubalika sana na mtashinda!
Leo umekula kweli?Kwani hii mada yako si inahusu siasa za vyama?
Ok.. Wewe siyo chadema..
Vipi mafuriko haya ya Lisu leo ndio ushindi wenyewe? Maana upepo umebadirika.
Watanzania ata wakisikia mabomu yanalipuka wanaenda kushangaa hivyo husijipe matumaini tundu lisu ni kama marehemu tu watu wameenda kumshuudia baada ya kuondoka nchini muda mrefu hivyo watu wameenda kuona kama kweli amerudi lakini hawatopiga kura kwa lisu,pia elewa kwamba hakuna atakayempa kiki tunamuacha afanye kila kitu ila tarehe ya kesi ikifika ahende mahakamani kujibu tuhuma za kushindwa kuudhuria mahakamani baada ya kudhaminiwa.Hakika, mapokezi ya leo ya Lissu yamenikumbusha mwaka 2017 mnamo mwezi wa Aprili. Wakati huo, Wakili Msomi Tundu Lissu alikuwa akiwania urais wa Chama cha Mawakili cha Tanganyika almaarufu kama TLS.
Wapigakura pamoja na baadhi ya wagombea wa nafasi ya Urais wa TLS tukafika Arusha. Siku ya uchaguzi ilipofika, tukaingia Arusha International Conference Centre (AICC) tayari kufanya uchaguzi. Lissu hakuwepo ukumbini wala Arusha.
Lissu alikuwa Dar es Salaam ambapo Mawakili wake walikuwa wakipambania dhamana yake kwakuwa alikuwa mahabusu. Siku ya uchaguzi, Lissu akapata dhamana Dar na kuruka na ndege hadi Arusha uchaguzini. Akawahi.
Alipoingia Ukumbini, AICC, alimkuta mkewe Wakili Msomi Alicia Magabe akichangia mada katika mjadala uliokuwa ukiendelea. Alipoingia Lissu, hali ya hewa ikabadilika. Mawakili Wasomi wakasahau hata mjadala uliokuwa ukiendelea. Kama vile walipangwa, walianza kushangilia bila kusita na kwa kunyanyuka.
Hiyo ikawa karata muhimu kwa Lissu. Akapata kazi mdogo hata kwenye kampeni zake. Alipata kura za upendo na zile za huruma. Najua Baraza Kuu la CHADEMA limeupata ujumbe wa mapokezi ya leo. Kwamba, Lissu hazuiliki kugombea Urais wa JMT mwaka huu.
Dr. John Pombe Magufuli na Mhe. Bernard Membe wanamsubiri ulingoni ili kumpata Rais wetu kwa kura zetu. Upepo umeshabadilika, mambo yanazidi kunoga!
Nisile kisa Lisu?Leo umekula kweli?
Watanzania ata wakisikia mabomu yanalipuka wanaenda kushangaa hivyo husijipe matumaini tundu lisu ni kama marehemu tu watu wameenda kumshuudia baada ya kuondoka nchini muda mrefu hivyo watu wameenda kuona kama kweli amerudi lakini hawatopiga kura kwa lisu,pia elewa kwamba hakuna atakayempa kiki tunamuacha afanye kila kitu ila tarehe ya kesi ikifika ahende mahakamani kujibu tuhuma za kushindwa kuudhuria mahakamani baada ya kudhaminiwa.
Nisile kisa Lisu?
Subiri oktoba!Mtajinyea leo lissu ndo habari ya mujini batoto banakosa bakushika, Babashite.
Ndio huoni leo tumeshinda wote kwenye thread za Lissu?Nisile kisa Lisu?
Hivi watu kama nyie mnakuwa na wazazi???Watanzania ata wakisikia mabomu yanalipuka wanaenda kushangaa hivyo husijipe matumaini tundu lisu ni kama marehemu tu watu wameenda kumshuudia baada ya kuondoka nchini muda mrefu hivyo watu wameenda kuona kama kweli amerudi lakini hawatopiga kura kwa lisu,pia elewa kwamba hakuna atakayempa kiki tunamuacha afanye kila kitu ila tarehe ya kesi ikifika ahende mahakamani kujibu tuhuma za kushindwa kuudhuria mahakamani baada ya kudhaminiwa.