Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Kwanini unauliza swali mufilisi kama hiloHivi watu kama nyie mnakuwa na wazazi???
Kwanini unauliza swali mufilisi kama hiloHivi watu kama nyie mnakuwa na wazazi???
Mungu ni mwemaMimi sishangai juu ya ujio wa Lissu. Bado natafakari juu ya Uwezo na matendo ya Mungu tu. Yani Mtu Leo anaumwa malaria,kesho anacheki taarifa ya habari Kisha chaguzi za udiwan viti maalumu anainamisha kichwa na kuondoka mazima,,halafu huyu mtu kapigwa risasi 16 tunaambiwa Ni mzima na leo ndio anarejea. Daaahhh Yule alieimba MUNGU Yuko wapi Inawezekana ni mwerevu au Ni mpuuuzi Sana!!!
Hata Malawi hakukuwa na Tume Huru ila nguvu ya umma iliifanya ile tume kutangaza matokeo ya kweli. Hilo ndo litatokea hapo October mwaka huu. Tume hii hii isiyo huru itaenda kulazimishwa na Nguvu ya umma kutangaza matokeo ya kweli na haki ya uchaguzi. Hapo ndo Tundu Lissu atakapoenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Amini maneno yanguKwa hiyo sasa hivi tume huru si kigezo cha kushindwa tena.?
Bali Lisu anakubalika sana na mtashinda!
Jibu unalo, jiandaeni kuiba kura tuKwa hiyo sasa hivi tume huru si kigezo cha kushindwa tena.?
Bali Lisu anakubalika sana na mtashinda!
Aliyekiri yeye ni kichaa mchana kweupe mbele ya watu na vyombo vya habari ndo anauweza uraisi???Kwa hulka za lisu abaki kuwa mwanaharakati tu urais hauwezi.
Kwa hiyo mmejipangajeJibu unalo, jiandaeni kuiba kura tu
Aiseee watu MNA mananeno, RIP Mzee MkapaMimi sishangai juu ya ujio wa Lissu. Bado natafakari juu ya Uwezo na matendo ya Mungu tu. Yani Mtu Leo anaumwa malaria,kesho anacheki taarifa ya habari Kisha chaguzi za udiwan viti maalumu anainamisha kichwa na kuondoka mazima,,halafu huyu mtu kapigwa risasi 16 tunaambiwa Ni mzima na leo ndio anarejea. Daaahhh Yule alieimba MUNGU Yuko wapi Inawezekana ni mwerevu au Ni mpuuuzi Sana!!!
Hahahaha, mnatetemeka! Mara akishuka atakamatwa.Watanzania ata wakisikia mabomu yanalipuka wanaenda kushangaa hivyo husijipe matumaini tundu lisu ni kama marehemu tu watu wameenda kumshuudia baada ya kuondoka nchini muda mrefu hivyo watu wameenda kuona kama kweli amerudi lakini hawatopiga kura kwa lisu,pia elewa kwamba hakuna atakayempa kiki tunamuacha afanye kila kitu ila tarehe ya kesi ikifika ahende mahakamani kujibu tuhuma za kushindwa kuudhuria mahakamani baada ya kudhaminiwa.
Nadhani ndiyo hii hapa 👇 mkuu...Hakika, mapokezi ya leo ya Lissu yamenikumbusha mwaka 2017 mnamo mwezi wa Aprili. Wakati huo, Wakili Msomi Tundu Lissu alikuwa akiwania urais wa Chama cha Mawakili cha Tanganyika almaarufu kama TLS.
Wapigakura pamoja na baadhi ya wagombea wa nafasi ya Urais wa TLS tukafika Arusha. Siku ya uchaguzi ilipofika, tukaingia Arusha International Conference Centre (AICC) tayari kufanya uchaguzi. Lissu hakuwepo ukumbini wala Arusha.
Lissu alikuwa Dar es Salaam ambapo Mawakili wake walikuwa wakipambania dhamana yake kwakuwa alikuwa mahabusu. Siku ya uchaguzi, Lissu akapata dhamana Dar na kuruka na ndege hadi Arusha uchaguzini. Akawahi.
Alipoingia Ukumbini, AICC, alimkuta mkewe Wakili Msomi Alicia Magabe akichangia mada katika mjadala uliokuwa ukiendelea. Alipoingia Lissu, hali ya hewa ikabadilika. Mawakili Wasomi wakasahau hata mjadala uliokuwa ukiendelea. Kama vile walipangwa, walianza kushangilia bila kusita na kwa kunyanyuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio huoni leo tumeshinda wote kwenye thread za Lissu?
Hiyo haikihusu wewe na wenzio jiandaeni kira tuKwa hiyo mmejipangaje
Huku sasa ni kuathirika...ama mwandishi ni yule yule au ni athari za genealogy. Nachukia kweli nikiona lugha yetu ya taifa inavyofinyangwafinyangwa na genge hili la washamba na limbukeni. Hivi nyie viumbe mmeokotwa wapi?Maana upepo umebadirika.
Watanzania ata wakisikia mabomu yanalipuka wanaenda kushangaa hivyo husijipe matumaini tundu lisu ni kama marehemu tu watu wameenda kumshuudia baada ya kuondoka nchini muda mrefu hivyo watu wameenda kuona kama kweli amerudi lakini hawatopiga kura kwa lisu,pia elewa kwamba hakuna atakayempa kiki tunamuacha afanye kila kitu ila tarehe ya kesi ikifika ahende mahakamani kujibu tuhuma za kushindwa kuudhuria mahakamani baada ya kudhaminiwa.
Majibu murua aliko huko anashangaa hawa vijana hoja wanatoa wapiNdio huoni leo tumeshinda wote kwenye thread za Lissu?
Anauliza hivyo sababu anaona vichwani mko empty.Kwanini unauliza swali mufilisi kama hilo
Rejea kauli ya Tundu Lissu pale uwanja wa ndege kule Brussels. Hatarajii haki kwenye uchaguzi mkuu[Kwa hiyo sasa hivi tume huru si kigezo cha kushindwa tena.?
Bali Lisu anakubalika sana na mtashinda!