Mapokezi ya Lissu ya leo: Nimekumbuka Aprili 2017 Arusha ndani ya AICC. Alipoingia, hali ya hewa ikabadilika ghafla!

Mungu ni mwema
 
Kwa hiyo sasa hivi tume huru si kigezo cha kushindwa tena.?

Bali Lisu anakubalika sana na mtashinda!
Hata Malawi hakukuwa na Tume Huru ila nguvu ya umma iliifanya ile tume kutangaza matokeo ya kweli. Hilo ndo litatokea hapo October mwaka huu. Tume hii hii isiyo huru itaenda kulazimishwa na Nguvu ya umma kutangaza matokeo ya kweli na haki ya uchaguzi. Hapo ndo Tundu Lissu atakapoenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Amini maneno yangu
 
Aiseee watu MNA mananeno, RIP Mzee Mkapa
 
Viongozi wa Chadema hatutawaelewa habari zenu za Nyalandu.
 
Hahahaha, mnatetemeka! Mara akishuka atakamatwa.
Je!!!!
 
Nadhani ndiyo hii hapa 👇 mkuu...
 
Maana upepo umebadirika.
Huku sasa ni kuathirika...ama mwandishi ni yule yule au ni athari za genealogy. Nachukia kweli nikiona lugha yetu ya taifa inavyofinyangwafinyangwa na genge hili la washamba na limbukeni. Hivi nyie viumbe mmeokotwa wapi?
 

Jifunze kwanza kuandika vizuri then uje kuchangia
 
Kwa hiyo sasa hivi tume huru si kigezo cha kushindwa tena.?

Bali Lisu anakubalika sana na mtashinda!
Rejea kauli ya Tundu Lissu pale uwanja wa ndege kule Brussels. Hatarajii haki kwenye uchaguzi mkuu[
 
Hatutoi kiki fanyeni kila mnalolitaka ila adhabu ya kukimbia dhamana ipo pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…