Kama wewe unavyotakiwa kushughulika na mambo yajo maana nguruwe wa Lumumba watakuuaNaona kwenye kila thread ya chadema umo tu unautikisa mkia wako!!
Dada shughulika na dhiki za familia yako Chadema itakuuwa!
Jamani mm sijajifunza matusi lakini huyu kama yuko anaeweza kumtukana afanye hivyo kwa niaba yangu watu hawa kua wanakula nn jamaniWatanzania ata wakisikia mabomu yanalipuka wanaenda kushangaa hivyo husijipe matumaini tundu lisu ni kama marehemu tu watu wameenda kumshuudia baada ya kuondoka nchini muda mrefu hivyo watu wameenda kuona kama kweli amerudi lakini hawatopiga kura kwa lisu,pia elewa kwamba hakuna atakayempa kiki tunamuacha afanye kila kitu ila tarehe ya kesi ikifika ahende mahakamani kujibu tuhuma za kushindwa kuudhuria mahakamani baada ya kudhaminiwa.
Nyie mnaomshabikia rais anayemaliza mda wake mna high IQ.Watu wote wanaomshabikia Tundu Lisu wana low IQ, I mean unawezaje kumuona mtu kama huyo kuwa shujaa? Huyo jamaa ni failure through and through, Tundu Lisu hata hajui aongee nini na wapi, na anakwenda kuizika chadema rasmi , ...