Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo (Nothing lasts longer), Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Hivi ndivyo CCM inavyoisha na wanajua, ila wanadhani Wataokolewa na Polisi, yaani ni kama mtu mjinga anayeamua kuchoma moto nyumba yake akitegemea kupiga simu Zimamoto ili waje wazime!
Viongozi wote wa ccm wanajua kabisa kwamba wakikubali Tume huru wanang'olewa mapema sana, lakini ni mpaka lini polisi wataendelea kutumia bunduki za umma kuisaidia ccm na kwanini?
Tuendelee kusubiri ya KANU
Wengine wlaliamua kupanda miti