Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Sii mchezo!.Unajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo
Hivi ndivyo CCM inavyoisha na wanajua, ila wanadhani Wataokolewa na Polisi, yaani ni kama mtu mjinga anayeamua kuchoma moto nyumba yake akitegemea kupiga simu Zimamoto ili waje wazime!
Viongozi wote wa ccm wanajua kabisa kwamba wakikubali Tume huru wanang'olewa mapema sana, lakini ni mpaka lini polisi wataendelea kutumia bunduki za umma kuisaidia ccm na kwanini?
Tuendelee kusubiri ya KANU
View attachment 3042446View attachment 3042447
P