Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwamba kaingia migodiniUnajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo
Hivi ndivyo CCM inavyoisha na wanajua, ila wanadhani Wataokolewa na Polisi, yaani ni kama mtu mjinga anayeamua kuchoma moto nyumba yake akitegemea kupiga simu Zimamoto ili waje wazime!
Viongozi wote wa ccm wanajua kabisa kwamba wakikubali Tume huru wanang'olewa mapema sana, lakini ni mpaka lini polisi wataendelea kutumia bunduki za umma kuisaidia ccm na kwanini?
Tuendelee kusubiri ya KANU
View attachment 3042446View attachment 3042447
Huwa napenda sana, kusoma thread zako namfananisha na mtu fulani wakati tulikuwa naye chuoni Moscow.Unajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo
Hivi ndivyo CCM inavyoisha na wanajua, ila wanadhani Wataokolewa na Polisi, yaani ni kama mtu mjinga anayeamua kuchoma moto nyumba yake akitegemea kupiga simu Zimamoto ili waje wazime!
Viongozi wote wa ccm wanajua kabisa kwamba wakikubali Tume huru wanang'olewa mapema sana, lakini ni mpaka lini polisi wataendelea kutumia bunduki za umma kuisaidia ccm na kwanini?
Tuendelee kusubiri ya KANU
View attachment 3042446View attachment 3042447
Anaweza tunishiana misuli na Mwamposa kujaza watu japo kwa 10% ya Mwamposa?Unajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo
Hivi ndivyo CCM inavyoisha na wanajua, ila wanadhani Wataokolewa na Polisi, yaani ni kama mtu mjinga anayeamua kuchoma moto nyumba yake akitegemea kupiga simu Zimamoto ili waje wazime!
Viongozi wote wa ccm wanajua kabisa kwamba wakikubali Tume huru wanang'olewa mapema sana, lakini ni mpaka lini polisi wataendelea kutumia bunduki za umma kuisaidia ccm na kwanini?
Tuendelee kusubiri ya KANU
View attachment 3042446View attachment 3042447
Hapa watu wanahabarisha na kuhamasishana....hakuna kunguniAisee kuna saa najiuliza kama nyie mkiingia badala ya haya majambazi ya CCM kutakuwa na tofauti sababu as far as uchawa na kujaribu kupindisha ukweli naona mpo sawa...
Picha inapigwa huku kunatimuliwa vumbi kuonekane vivuli kweli siasa ni mkakati na ku-win vilaza!Unajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo
Hivi ndivyo CCM inavyoisha na wanajua, ila wanadhani Wataokolewa na Polisi, yaani ni kama mtu mjinga anayeamua kuchoma moto nyumba yake akitegemea kupiga simu Zimamoto ili waje wazime!
Viongozi wote wa ccm wanajua kabisa kwamba wakikubali Tume huru wanang'olewa mapema sana, lakini ni mpaka lini polisi wataendelea kutumia bunduki za umma kuisaidia ccm na kwanini?
Tuendelee kusubiri ya KANU
View attachment 3042446View attachment 3042447
Unajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo
Hivi ndivyo CCM inavyoisha na wanajua, ila wanadhani Wataokolewa na Polisi, yaani ni kama mtu mjinga anayeamua kuchoma moto nyumba yake akitegemea kupiga simu Zimamoto ili waje wazime!
Viongozi wote wa ccm wanajua kabisa kwamba wakikubali Tume huru wanang'olewa mapema sana, lakini ni mpaka lini polisi wataendelea kutumia bunduki za umma kuisaidia ccm na kwanini?
Tuendelee kusubiri ya KANU
View attachment 3042446View attachment 3042447
Ukiwemo wewePicha inapigwa huku kunatimuliwa vumbi kuonekane vivuli kweli siasa ni mkakati na ku-win vilaza!
Mwamposa akiendelea kumfuata Makonda ajiandae kupotea, Shetani hana rafiki, Uchafu wa Makonda hausafishiki, halafu cha kushangaza hatujawahi kumuona Makonda Tanganyika ParkersAnaweza tunishiana misuli na Mwamposa kujaza watu japo kwa 10% ya Mwamposa?
Umejingundua kua umo ndani ya kiroba usingizi mzito!Ukiwemo wewe
Mkuu utusamehe kwa picha hizo, Mtiti wake haukuwa wa kawaida, Camera zetu mbili zimeungua kutokana na kuzidiwaPicha inapigwa huku kunatimuliwa vumbi kuonekane vivuli kweli siasa ni mkakati na ku-win vilaza!
Poleni naona kama wamasai wanaswga ng'ombe!Mkuu utusamehe kwa picha hizo, Mtiti wake haukuwa wa kawaida, Camera zetu mbili zimeungua kutokana na kuzidiwa
Warudi huku waongeze nguvuUnajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo
Hivi ndivyo CCM inavyoisha na wanajua, ila wanadhani Wataokolewa na Polisi, yaani ni kama mtu mjinga anayeamua kuchoma moto nyumba yake akitegemea kupiga simu Zimamoto ili waje wazime!
Viongozi wote wa ccm wanajua kabisa kwamba wakikubali Tume huru wanang'olewa mapema sana, lakini ni mpaka lini polisi wataendelea kutumia bunduki za umma kuisaidia ccm na kwanini?
Tuendelee kusubiri ya KANU
View attachment 3042446View attachment 3042447
Hakuna Ushahidi wa huo Ukabila, ni Majungu tuKazi nzuri sana hii, ila kinachoniudhi ni kule kuendekeza mambo yaliyopita ya kiukanda na ukabila
Sidhani kama unazidi ule uchafu wa mambuzi ya kafara migombaniMwamposa akiendelea kumfuata Makonda ajiandae kupotea, Shetani hana rafiki, Uchafu wa Makonda hausafishiki, halafu cha kushangaza hatujawahi kumuona Makonda Tanganyika Parkers
Mkuu hii kazi inayofanyika huko site si ya kitoto, Usifanye Mchezo kuzunguka na Chopa mwezi mzima, hela nyingi mno inatumika halafu kuna mabwege wanadhani tunafanya kazi ya kanisa, wasubiri matokeoPoleni naona kama wamasai wanaswga ng'ombe!