Pre GE2025 Mapokezi ya Mbowe Mererani yavunja rekodi yake mwenyewe, Umati hauhesabiki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sii mchezo!.
P
 
Mkuu hii kazi inayofanyika huko site si ya kitoto, Usifanye Mchezo kuzunguka na Chopa mwezi mzima, hela nyingi mno inatumika halafu kuna mabwege wanadhani tunafanya kazi ya kanisa, wasubiri matokeo
Yaani unampa ujumbe lissu na pambalu wameshakusikia!
 
Aisee kuna saa najiuliza kama nyie mkiingia badala ya haya majambazi ya CCM kutakuwa na tofauti sababu as far as uchawa na kujaribu kupindisha ukweli naona mpo sawa...
Kwa mfano hapa kinachopindishwa ni nini?
 
Hii siyo ile CHADEMA tulozoea kuiona miaka kumi na Tano iliyopia,hapana hii nyomi siyo ile tuloizoea,labda kama CHADEMA wanaanza upya.
 
Hii siyo ile CHADEMA tulozoea kuiona miaka kumi na Tano iliyopia,hapana hii nyomi siyo ile tuloizoea,labda kama CHADEMA wanaanza upya.
Kama ni hivyo kinachokuliza ni nini?
 
Aisee kuna saa najiuliza kama nyie mkiingia badala ya haya majambazi ya CCM kutakuwa na tofauti sababu as far as uchawa na kujaribu kupindisha ukweli naona mpo sawa...
KANU kweli ilishaondoka madarakani na Bado leo vijana wenye hasira Kali wanaandamana na kuchoma moto majengo ambayo serikali ya KANU iliyajenga kupitia Kodi za wananchi. KANU iliondoka na Bado hali ni bora ya jana na ndio maana watu wanaandamana kupinga serikali iliyopo madarakani. Hii inaonyesha kwamba wakenya hawajapata faida yoyote baada ya kuiondoa KANU madarakani ndio maana Bado wanaandamana kupinga serikali iliyopo Sasa.
Miaka mitano baada ya KANU kuondoka madarakani wakenya wakauana wenyewe kwa wenyewe hadi wengine kukimbilia nchi Jirani hasa Tanzania. Tutarajie hayohayo siku CCM itakapoondoka madarakani. wakati mwingine KUBADILI CHAMA TAWALA NI KAMA KUBADILI GLASI WAKATI KINYWAJI NI KILEKILE!!
 
Aisee kuna saa najiuliza kama nyie mkiingia badala ya haya majambazi ya CCM kutakuwa na tofauti sababu as far as uchawa na kujaribu kupindisha ukweli naona mpo sawa...
Kama ambavyo wakenya hawakupata faida yoyote kwa kuiondoa KANU madarakani (hadi Leo wanaandamana na kuchoma moto majengo ya serikali) sisi pia hatutapata faida yoyote kwa kuiondoa CCM madarakani. KUBADILI CHAMA TAWALA NI SAWA NA KUBADILI GLASI WAKATI KINYWAJI NI KILEKILE.
Wanasiasa sio watu wa kuwaamini.
 
Si kweli, haya maandamano ya Kenya yanasababishwa na Uongo wa William Ruto wa "BOTTOM UP"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…