Pre GE2025 Mapokezi ya Mbowe Mererani yavunja rekodi yake mwenyewe, Umati hauhesabiki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwamposa akiendelea kumfuata Makonda ajiandae kupotea, Shetani hana rafiki, Uchafu wa Makonda hausafishiki, halafu cha kushangaza hatujawahi kumuona Makonda Tanganyika Parkers
Huyo mwamposa naye devil worshiper tu
 
Hakuna Ushahidi wa huo Ukabila, ni Majungu tu
Sema Mbowe ni saddest sana! Bado anazungumzia Wachaga kutengwa na kunyimwa ajira na Magufuli! Nabaki najiuliza tu maana kuna jamaa zangu Wachaga walipata ajira 2019! Angefanyiwa kama Wamasai Ngorongoro ingekuwaje?
Still ni watu wenye chuki na ukabila wanao japo chini kwa chini!
 
Hii siyo ile CHADEMA tulozoea kuiona miaka kumi na Tano iliyopia,hapana hii nyomi siyo ile tuloizoea,labda kama CHADEMA wanaanza upya.

Baada ya kipigo cha 2015 - 2020 vyama vya upinzani vimeanza upya.
 


Waulize wanapiga kura? Sbb Div 0 akigombea Urais leo kwa SACCOS yake Chadema hawezi pata hata 5-8% ya kura zote, sasa waulizeni wanapiga kura?
 
Mwamposa akiendelea kumfuata Makonda ajiandae kupotea, Shetani hana rafiki, Uchafu wa Makonda hausafishiki, halafu cha kushangaza hatujawahi kumuona Makonda Tanganyika Parkers
Anamfuata Gwajima na Kakobe waliko. Kwani walianzaje? Aache siasa kabisa MWAMPOSA namshauri. Ila kama ni nguvu itokanayo na mafuta na maji siyo Kwa MUNGU, Aendelee kusaport atawin ila kama anatumia nguvu za MUNGU wa Mbinguni halafu anahangaika na mambo ya Dunia hii kaisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…