Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Silinde umemuona alivyojaza Tunduma kama hujaona nakupa tena huyo hapo hakuna wasanii hapo na Magufuli hajakanyaga hapo Tunduma na wasanii

Wacha maigizo wewe, hiyo video mmechukua watu wanaoonekana karibu na Silinde, nyuma mmeogopa kupaonesha coz mnajua mtaumbuka, muda mwingi mchukue video anamuonesha Silinde tu kukwepa aibu.

Tazama balaa la Lissu huko Tunduma leo ndio utajua Tunduma ina wenyewe, na wale madiwani wa CDM mliowapeleka jela bila kosa muwaachie.
 
Rais Rais Rais.. ama kweli ukombozi umewadia. Mpaka nalia machozi ya furaha. Mungu ni Mkubwa sana.
 
Yule Mataga Silinde amejificha wapi? asubili ukuu wa wilaya
 
Lissu akienda Bukoba asisahau kuongelea issue ya Kabendera. Yani Jiwe hatukuachi kabisaaa hiyo October 28. Tunakutoa. Huwezi kuwa mtesaji kiasi hiki ukaachwa.
 
Hawa ni wapiga kura wenye kadi nyie endeleeni kujidanganya na hao chokoraa wavuta bhangi na majizi ambao hawana muda wa kujiandikisha na akijiandikisha kadi hatunzi na akitunza haitatumika kwa uchakavu tena huko boda ndio balaa wengi hawana kadi ila muendelee kuwazarau wazee...
Wewe mwenyewe ni mvuta bhangi tu
 
Mh JPM akipiga kambi hapo Tunduma mtashangaa umati mkubwa wa ajabu.. Subirini, sisemi Lissu hajapata watu leo, ila wa kwetu CCM utapita huo
Ccm imesha kataliwa tayari na watanzania wacheni kujifanya hamnazo
 
Wa tunduma atakusanya hadi wakazi wa msumbiji ili kujibu mapigo ya Lissu. Mzee hashindwi kuwekeza pesa nyingi mradi tu TAL asimzidi kete
Watapiga pesa zake alafu wasepe zao kama walivyo piga za Mbatia walivyo mdanganya kuwa wanahamia chama chake NCCR kesho yake wanarudi cdm
 
Ni vizuri CCM mkajifariji maana mna hali mbayaaa saaana!!! Huku Jpm kazomewa kagera huku Lissu kaufunga mkoa wa Songwe leo!!!! Dadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Hali mbaya mnayo chadema. Jpm hazuiliki kwa masimango ya Lissu.
 
Leo bukoba ilikuwaje??? Mmeshawaachia wahaya wa watu waliowakataa??? Au mtawafungulia makosa ya uhujumu uchumi muwatese kama Kabendera na mama yake???
Wafuasi wa Lissu leteni hata picha tu ya kuzomewa mbona maneno matupu?
 
Back
Top Bottom