Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
He is behind himself, Mpina anajiuza mwenyewe, sasa tunataka tuone watakavyo mkata! Na wamlete naniKasubiri chief HHangaya aondoke, akaenda kuonyesha nguvu aliyonayo jimboni. Who is behind Mpina?
Mbona jibu la swali lako liko kwenye kichwa cha uzi huu, aliyeko nyuma ya Mpina ni wapiga kura wake.Kasubiri chief HHangaya aondoke, akaenda kuonyesha nguvu aliyonayo jimboni. Who is behind Mpina?
Citizens are behind Mpina.Kasubiri chief HHangaya aondoke, akaenda kuonyesha nguvu aliyonayo jimboni. Who is behind Mpina?
Samia watanganyika wamemkataa, analazimisha tuMapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi
Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!
Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Wasimvizie Usiku.
Wasimpige Nyundo na Nondo.