PreGE2025 Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

PreGE2025 Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mm najua mbunge ni mali ya wananchi, ajabu utawala unataka mbunge awe mali yake.

SAsa lazimisheni kuwapoka wananchi hitaji lao.
Kiuhalisia rais hapaswi kuwa na sauti dhidi ya hitaji la wananchi.

Keep up Jembe Joel Mpina...

Hii ndio maana halisi ya Tanzania ni yetu sote.
 
Na hapo ieleweke kuwa wale wa kusombwa na maroli walisharudi makwao
 
Back
Top Bottom