PreGE2025 Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!

Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Wagombea Kwa Mungu asihamie CHADEMA maana utakuwa ndo mwisho wao
 
Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!

Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Mm nikikusikia unasema watanzania hawana Elimu ya masuala ya mpiga kura kwenye uchaguzi Moja kwa Moja najua ww unaesema ndio una mtindio wa ubongo,yaani unamnanga Mbunge Alafu wananchi wanakwambia ss huyo ndio tunamtaka tena wanakuonyesha kwa vitendo pamoja na kwamba ulitoa kauli za kejeli,yaani wamekuchukua ww na kejeli zako wakakutupa nje kwa aibu,pole sana dada yangu Samia.
 
Na-imagine: Wanakisesa wakampitisha tena kugombea ubunge kwa mara nyingine kwa tiketi hii hii ya Ccm.

Sijui hali itakuwaje kwa Mzanzibari.
Hao viongoz wa jimbo ccm watakuwa hawapendi nafas zao,maana wakimpitisha tu wao watamwaga ugali wao

Hapo polis ccm wanashindwa wafanye lipi wanye au waalishe
 
Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!

Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Vijembe ndio vinazuia Wananchi kumkubali mtu?

Swali ni Je atakatwa au hatokatwa ndio jambo la msingi.

Mwisho sioni sababu ya kumkata aachwe tuu Bungeni.
 
Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!

Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Jina halirudi kudadadeki
 
Back
Top Bottom