TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Mleta mada jiandae utaambiwa AI...!
Hii ndio kitu ccm hawataki. Ukiwa mkweli Ccm ina kufanya adui. Hongera Kisesa..Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi
Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!
Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Raisi wa wananchi...CCM wanamtengeneza aje Chadema kuyumbisha uchaguzi kama kilichotokea kwa Lowassa.Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi
Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!
Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Naunga mkono hoja, bahati mbaya mfumo wetu mbovu hauwataki watu kama Hawa...bali vilaza ndio hubebwa na mfumo!Mtu km huyu angekuwa Rais hadi unajivunia taifa lako
Kama hujui alie nyuma ya Mpina then you must be out of your mind!Kasubiri chief HHangaya aondoke, akaenda kuonyesha nguvu aliyonayo jimboni. Who is behind Mpina?
Tutakata jina. Hatusumbui.Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi
Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!
Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Tujulishe mkuu tupo kwenye giza totoro.Kama hujui alie nyuma ya Mpina then you must be out of your mind!
Sure, Dar kwenyewe huduma ni za hovyo na anaishi hapo halafu analazimisha aambiwe kuwa hadaiwiUkifanya KAZI ya WATU unajiuza bila nguvu
Mpina hana heshma kwa mamlaka, huku ni kubishana na mama, october ni tick tu.Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi
Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!
Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Kwa ccm maana yake hapo wataona eti kajikweza wataona wivuMapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi
Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama!
Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
View attachment 3378898
Mpina amechagua kuwa upande wa wananchi bila unafiki! Hicho unachokiona hapo ni shukrani ya wananchi Kwa mpina Kwa Kuchagua upande wao (haki) bila kujali mawe anayopigwa! WATANZANIA WA SASA SIO WAJINGA, WANAJUA VIZURI NANI YUKO UPANDE WAO.Tujulishe mkuu tupo kwenye giza totoro.
Hapa tu ujumbe ushamfikia kuwa kura za urais hii Hana hapo😁Na-imagine: Wanakisesa wakampitisha tena kugombea ubunge kwa mara nyingine kwa tiketi hii hii ya Ccm.
Sijui hali itakuwaje kwa Mzanzibari.
Wananchi wa Kisesa, which is his electorate.Kasubiri chief HHangaya aondoke, akaenda kuonyesha nguvu aliyonayo jimboni. Who is behind Mpina?