PreGE2025 Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii ndio kitu ccm hawataki. Ukiwa mkweli Ccm ina kufanya adui. Hongera Kisesa..
 
Raisi wa wananchi...CCM wanamtengeneza aje Chadema kuyumbisha uchaguzi kama kilichotokea kwa Lowassa.
 
Mpina hana heshma kwa mamlaka, huku ni kubishana na mama, october ni tick tu.
 
Kwa ccm maana yake hapo wataona eti kajikweza wataona wivu
 
Yani Mpina ana apply u CDM ndani ya tawala na anawaburuza kisawasawa bila ubwabwa wala malori nikuwasemea tu watu wanajenga imani na kiongozi wao

No reform No Election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…