PreGE2025 Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wagombea Kwa Mungu asihamie CHADEMA maana utakuwa ndo mwisho wao
 
Mm nikikusikia unasema watanzania hawana Elimu ya masuala ya mpiga kura kwenye uchaguzi Moja kwa Moja najua ww unaesema ndio una mtindio wa ubongo,yaani unamnanga Mbunge Alafu wananchi wanakwambia ss huyo ndio tunamtaka tena wanakuonyesha kwa vitendo pamoja na kwamba ulitoa kauli za kejeli,yaani wamekuchukua ww na kejeli zako wakakutupa nje kwa aibu,pole sana dada yangu Samia.
 
Na-imagine: Wanakisesa wakampitisha tena kugombea ubunge kwa mara nyingine kwa tiketi hii hii ya Ccm.

Sijui hali itakuwaje kwa Mzanzibari.
Hao viongoz wa jimbo ccm watakuwa hawapendi nafas zao,maana wakimpitisha tu wao watamwaga ugali wao

Hapo polis ccm wanashindwa wafanye lipi wanye au waalishe
 
Vijembe ndio vinazuia Wananchi kumkubali mtu?

Swali ni Je atakatwa au hatokatwa ndio jambo la msingi.

Mwisho sioni sababu ya kumkata aachwe tuu Bungeni.
 
Utasikia anaitwa kwa rpc kwa mahojiano
 
Jina halirudi kudadadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…