Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

Peter Dafi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
392
Reaction score
272

MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI.

Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam.

Viongozi, Wanachama wa CCM, Wakereketwa na Wapenzi wote wa CCM bila kuwasahau wale Msio na vyama ila mnajua na kuipenda Kazi ya Katibu Mwenezi Makonda.

Mnakaribishwa wote kuja kumpokea siku ya Alhamisi katika Jiji la Mzizima.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Mimi ni Chadema pure Ila kwa Makonda mmetyletea Moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…