Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Hio C inasimama badala ya nini? Maana wahuni hawachelewi kuita wanavyojua utasikia wanasema C ni Choko na wengine watasema C inasimama km ChawaPaul C. Makonda
Unapoandika Jina la mtu andika kwa kirefu usitupe kazi ya kutafuta maana kila mtu ataibuka na maana yake