Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

Siasa zake za ubabe na vitisho hazina nafasi Zama hizi then hicho cheo chake hakina Nguvu za kimamlaka Kama kuwa RC so asije akajisahau akadhani ubabe una nafasi ataumia Kama kipindi yupo RC dsm ile nyumba yake ya kule nje ya mji alidhulumiwa na watoto wa mjini Sasa itakuwa sahivi awe humble na amuombe Mungu Sana atafanikiwa
 
Chama chenye katibu mwenezi mhalifu aliye na marufuku ya kuingia US kwa kosa la kudhulumu haki ya watu kuishi.

Mungu yule aliyemwondoa mamlakani wakati Lissu anarejea nchini yuu hai hata sasa. Waliomwokota Makonda wakifikiri hasira za Mwenyezi juu yake zinepoa wasubiri waone kilicholipata jeshi la Farao walipojaribu kupita pakavu pa bahari wakidhani bahari ilifunguliwa kwa ajili ya wao kuwamaliza wana wa Israel kumbe ilifunguliwa kwa minajili ya kuwatenga na farao milele kwa kulichinjia jeshi lake baharini.

Hiki ndicho kitakacho tokea kwa ccm.

Itunzeni msg yangu hii!
 
Chama chenye katibu mwenezi mhalifu aliye na marufuku ya kuingia US kwa kosa la kudhulumu haki ya watu kuishi.
Mungu yule aliyemwondoa mamlakani wakati Lissu anarejea nchini yuu hai hata sasa.
Waliomwokota Makonda wakifikiri hasira za Mwenyezi juu yake zinepoa wasubiri waone kilicholipata jeshi la Farao walipojaribu kupita pakavu pa bahari wakidhani bahari ilifunguliwa kwa ajili ya wao kuwamaliza wana wa Israel kumbe ilifunguliwa kwa minajili ya kuwatenga na farao milele kwa kulichinjia jeshi lake baharini.
Hiki ndicho kitakacho tokea kwa ccm.
Itunzeni msg yangu hii!

Katibu Mwenezi wa CCM ana Majukumu ya Kujenga Chama Tanzania na Kuimarisha Matawi yote ya Nje ya Nchi. Nakukumbusha tu kuwa Katazo la hao Mabeberu halina Maana yoyote kwa CCM wala kwake Paul.
Anaichapa kazi na Maisha yake yanakwenda vyema sana bila hilo Taifa la Marekani.

Wewe angalia Siasa ya Nchi! hayo ya Makatazo ni Mtambuka sana kwako Kaka, Utashangaa sana ukikuta vinginevyo na unavyofahamu.

Punguza makasiriko na Ukaribie kwenye viwanja vya Lumumba hapo Kesho umpokee Mwamba na Jemedari Paul Makonda.
 
Yapo sana.

Nakala kwa :Lucas Mbwa Wa Shamba.

Mkuu sio uungwana kumtukana mwenzio bila sababu ya msingi! Pamoja na mapungufu unayoyaona kwake au kwenye hoja/jumbe zake sio sababu ya kumtukana ndugu.

Kimsingi sio yeye aliyeweka hilo bango la mapokezi ya Makonda, hajasema chochote, iweje umtukane? Umekosea sana mkuu?

Tushindane kwa hoja sio kwa matusi!
 
Ameshachuja huyo. Nope mwezi mmoja. Tatizo watu wanadhani Makonda ndio yule mkuu wa mkoa. Sasa hivi Hana mamlaka ya kiserikali na hawezi chochote. Wasemaji wanne ndani ya miaka mitatu unadhani ni kawaida?. Mtabadilisha.
 
View attachment 2791568
MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI.

Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam.

Viongozi, Wanachama wa CCM, Wakereketwa na Wapenzi wote wa CCM bila kuwasahau wale Msio na vyama ila mnajua na kuipenda Kazi ya Katibu Mwenezi Makonda.

Mnakaribishwa wote kuja kumpokea siku ya Alhamisi katika Jiji la Mzizima.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Mwamba....
Anakaribishwa sana...
 
Back
Top Bottom