Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

Paul C. Makonda
Hio C inasimama badala ya nini? Maana wahuni hawachelewi kuita wanavyojua utasikia wanasema C ni Choko na wengine watasema C inasimama km Chawa

Unapoandika Jina la mtu andika kwa kirefu usitupe kazi ya kutafuta maana kila mtu ataibuka na maana yake
 
Dua la kuku eti USA,nchi ya mashoga hiyo,sasa mambo yote USSR
 
Alishawahi kuthubutu kulala na mama yako nini? Mboni unampamba sana?
Nashukuru kwa matusi mazito mkuu.
Kama kwa kufanya hivi inakupa faraja na furaha basi endelea kunitukana zaidi mimi binafsi na mama yangu ambae hayupo duniani miaka mingi. Ikikupendeza nitukanie hadi baba yangu labda yeye ndiyo sababu nimekuja duniani kukukera.

Kumbuka matusi hayawezi kubadili 'fact'. So the fact will remain there, Makonda is a bold and proactive person.

He has guts, or cojones some of our political leaders are lacking.

He has made several bold decisions during his tenure as a Regional commissioner or District commissioner.
 
Hiyo marufuku alipigwa kwa sababu ya kuuwa raia kwa matamanio yake.
Hasira yangu ipo hapo kwa mwenezi kuwa muuaji.
 
Dua la kuku eti USA,nchi ya mashoga hiyo,sasa mambo yote USSR
Magu alikuja na ujinga wa kauli kama hizi akisaidiwa na kina makonda na sabaya na Jerry moro na musiba lakini kilichomkuta ni historia na sote tutaisimulia vizazi vyetu.
 
Katika kitabu mojawapo cha mwamba Sun Tzu anaelezea vizuri haya mambo na amesisitiza NEVER EVER UNDERESTIMATE THE POWER OF YOUR ENEMY.........so let's wait Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…