View attachment 2791568
MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI.
Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu
Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam.
Viongozi, Wanachama wa CCM, Wakereketwa na Wapenzi wote wa CCM bila kuwasahau wale Msio na vyama ila mnajua na kuipenda Kazi ya
Katibu Mwenezi Makonda.
Mnakaribishwa wote kuja kumpokea siku ya Alhamisi katika Jiji la Mzizima.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI