Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Deshmo, Dr. Anatua leo saa 8 mchana na chopa ya Ndesa Pesa ambapo bado inaendelea kuitwa Helcopter ya Mbowe hata kama Mbowe hajatua nayo!.
Nitawashauri Chadema endapo watachukua nchi 2015 kutokana na makosa ya CCM kutomsimamisha yule mgombea, then serikali ya Chadema iwajibike kuendelea kumuenzi Baba wa Taifa kwa kuendeleza mbio za mwenge ila wauzungushe kwa helcopter!.
P.
Yute tisa, kumi nikashuhudia nesi mmoja sii mchezo!. Utadhani hakuzaliwa bali aliumbwa na kushushwa moja kwa moja!.
Kusema ukweli sisi wengine tuna nadhaifu yetu!. Almanusura nighairi kuendelea na mbio za mwenge niwaambie wenzangu wakimaliza wanikute.
Mkuu K'Jambazi, ni kweli baadhi ya miradi imekamilika kabisa na inafanya kazi hivyo haikustahili kuwekewa jiwe la msingi bali ilipaswa ndio izinduliwe!.Wanawekaje jiwe la msingi wakati mradi ushakamilika na gharama kufahamika?!
Au mi ndo sielewi maana ya kuweka jiwe la msingi na neno msingi lenyewe?!
Mkuu K'Jambazi, ni kweli baadhi ya miradi imekamilika kabisa na inafanya kazi hivyo haikustahili kuwekewa jiwe la msingi bali ilipaswa ndio izinduliwe!.
Ila pia mradi ni project hivyo cost inajulikana wazi kabla mfano bomba la gesi ni dola biloni 1.2.
Hata hivyo hili la kuweka jiwe la msingi miradi iliyokamilika kwa maoni yangu ikizinduliwa sasa kufikia 2015 watu watakuwa wamesahau!. Hivyo zinduzi nyingi zitafanyika 2015 ili october, mtimize wajibu wa kutoa asante kwenye..
Hata Daraja la Kigamboni, mabasi yaendayo kasi, katiba mpya, barabara za juu kwa juu etc!, kuna atakaye sema hapana?!.
Mpaka Kiele', hapa nafanya tuu kazi ya kanisa!. Betty Mkwasa ndie Mtanzania wa kwanza kutangaza FM akiwa RTD na kuna shavu alinipa hapa nalipa tuu fadhila.Pasco bana , hiki kipindi ndio kitaitwaje? Maana nanenane spesho kimeisha .......Betty kukupatia Bonge la shavu kama una kama M 6 hivi kibindoni au nimepunguza sana ?
Endelea na promo , huyu Betty anataka eti naye kuwa RC haridhiki na Udc , ambao aliupata baada ya kurusha kipindi cha kumtusi sana mzee Salim .....2005 , Muulize alikoenda DARUSO aliowahoji walimpa majibu gani ambayo yalifanyika kesho yake kuwa na kipindi maalum na watu waliojitokeza na kupewa cheo cha DARUSO .......IT'S Pathetic !
Wajameni saa hizi ni saa 10:00!. Hatujaouna mchana!. Ingekuwa ni mwezi mtukufu tungeelewa!.
Mkuu Deshmo, Dr. Anatua leo saa 8 mchana na chopa ya Ndesa Pesa ambapo bado inaendelea kuitwa Helcopter ya Mbowe hata kama Mbowe hajatua nayo!.
Nitawashauri Chadema endapo watachukua nchi 2015 kutokana na makosa ya CCM kutomsimamisha yule mgombea, then serikali ya Chadema iwajibike kuendelea kumuenzi Baba wa Taifa kwa kuendeleza mbio za mwenge ila wauzungushe kwa helcopter!.
P.
Anatua leo saa 8 mchana na chopa ya Ndesa Pesa ambapo bado inaendelea kuitwa Helcopter ya Mbowe hata kama Mbowe hajatua nayo!.
Nitawashauri Chadema endapo watachukua nchi 2015 kutokana na makosa ya CCM kutomsimamisha yule mgombea, then serikali ya Chadema iwajibike kuendelea kumuenzi Baba wa Taifa kwa kuendeleza mbio za mwenge ila wauzungushe kwa helcopter!.
P.
Kutoka Zenjele nikajikuta nina mahitaji ya kibinaadamu. hivyo nikachepuka kidogo na kutafuta hifadhi Zahanati ya Chipanga!.
Kwanza nilishangaa kukuta zahanati inafanya upasuaji kwa kutumia vifaa vya kisasa kabisa vinavyotumia solar!.
Yute tisa, kumi nikashuhudia nesi mmoja sii mchezo!. Utadhani hakuzaliwa bali aliumbwa na kushushwa moja kwa moja!.
Kusema ukweli sisi wengine tuna nadhaifu yetu!. Almanusura nighairi kuendelea na mbio za mwenge niwaambie wenzangu wakimaliza wanikute pale huwezi jua naweza kupata hifadhi ya zaidi na zaidi!.
Yaani !...
Hawa wazungu wametuharibia sana asili yetu ya kiafrika!.
Usinikumbushe!. Mchana umeishapita labda chakula cha usiku!. Si unajua tena mambo ya mkesha wa mwenge!.Si uende kwa yule Nesi ukapige msosi?