Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Mheshimwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli amesema ili kukuza sekta ya usafiri wa anga aliongea na Rais wa Rwanda Paul Kame kwamba ndege itakua inatoka Kigali kutua Mwanza na kuelekea Londoni ,hii itawapa fursa watu wa mwanza na kanda ya ziwa kusafiri moja kwa moja bila kuptia Daresalaam, Mh Dr Magufuli amesema hayo wakati wa sherehe ya kukaribisha na kupokea ndege nyingine aina ya Bombardier Q400-8 iliotoka Canada sherehe hii ilifanyika jijini Mwanza.
 
Hivi Viwanda vilipotelea wapi vile 🙄🙄 !!?。
 
Back
Top Bottom