tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,297
Halafu et viongozi wa dini wanaomba amani!!Haya matapeli yamelipa deni hawajashinda kesi ndio maana zile tambwe za Kina Kabudi kule sauzi et tumepeleka phd sijui wanasheriw zamu hii hakuna
Ukisikiliz vizur utaon sherehe nzim hakun aliyesema tumeshinda kesi bali NDEGE IMEACHIWA, maana yake ni negotiation ilifanyika
Chunguza utaon sherehe ime kuw centred n shirik n ndege n sio tambwe sa ndege
Watu wanauawa kwa risasi mchana huko halafu wanasema amani.WATACHOMWA HAWA!!
Sent using Jamii Forums mobile app