Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Ivi ina uwezo wa kubeba abiria wangapi? Kuhusu kupokelewa na rais msishangae wakuu, ni ivi, legacy ya mh. Rais iko kweny mambo 3.
1. Shirika la ndege
2. Mradi wa umeme Stigglers gorge
3. Stg.
Stage toyote katika project hizi anasimama mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ina uwezo wa kubeba abiria 78. (10 first class). Nafikiria ulimaanisha Namba 3. SGR (Standard Gauge Railway).
 
Je waliokuwa wanasafiri uraya!
Bado tu hatujazizoea hizi ndege jamani mpaka serikali nzima inaenda? Ni jambo jema ununuzi wa ndege ila waziri wa uchukuzi tu angetosha kuipokea wengine wakafanye kazi zingine maana ni kuongeza matumizi bila sababu,Rais,Pm,Spika etc hawa wote lazima wasafiri na misafara au ndege kwenda huko,maandalizi na mengineyo

This is too much kwakweli.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washamba wengi sana nchi hii, yani tunateketeza mabilion ya hela kupokea ndege?
Mmeshindwaaaaa Eti tundu lisu ndo champion wa sheria ndo mjue vipanga wapo wengi! Mwambieni wafungulie tv zao wafatirie tukio hili la kupokea ndege
 
JAMANI FUNGULIENI TV ZENU MUANGALIE TUKIO LA KUPOKEA NDEGE ..Wameshindwaaaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Hivi hili la kushuhudia "water salute" ya ndege mpya, ndivyo hufanywa na hata nchi majirani zetu wa Afrika, kwa kukusanya uongozi wote wa juu wa nchi? Mimi naona sasa ifike wakati hafla ya namna bora ifanywe na Mkuu wa Mkoa husika ama Waziri ama naibu mwenye dhamana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wacha kiherehere, sio lazima tufanye wengine wanavyofanya. Tutaiga mazuri ya majirani na ulimwenguni kote lakini hatutaacha jadi zetu ili kuwafurahisha watu flani flani.
 
Mmeshindwaaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Wacha kiherehere, sio lazima tufanye wengine wanavyofanya. Tutaiga mazuri ya majirani na ulimwenguni kote lakini hatutaacha jadi zetu ili kuwafurahisha watu flani flani.
Namuona mbowe kushoto pale anatoa macho.
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Waziri mstaafu Mizengo Pinda - ''Hoja sio ndege bali ni JPM kwa kazi kubwa anayoifanya wananchi wana hamu ya kumuona na kumpa support..''
 
Back
Top Bottom