Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Kipande cha mwisho cha safari ya Bombardier Q400 5H-TCF baada ya kuondoka juzi kupitia Reykyavik, Praque na Alexandria. Safari njema marubani na chombo.
Screenshot_2019-12-14 Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map Flightradar24.png
 
Hivi kuna maelezo yoyote jinsi ndege ilivyoachiwa? tumelipa au tumesamehewa na kama tumelipa ni kwamba deni tumemaliza au kuna hatari ya kukamatwa tena kwa kutoheshimu makubaliano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu MANI Swali hilo limekuwa gumu kujibika toka watangaze imeachiwa. Imekuwa ngumu kujibu kama kumuuliza mtu asiye enda suna hadharani, jee umetahiriwa? Atabaki katoa macho kama Kabudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi ina uwezo wa kubeba abiria wangapi? Kuhusu kupokelewa na rais msishangae wakuu, ni ivi, legacy ya mh. Rais iko kweny mambo 3.
1. Shirika la ndege
2. Mradi wa umeme Stigglers gorge
3. Stg.
Stage toyote katika project hizi anasimama mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
water salute?? ni mpya kumbe ile yetu tumemwachia steyn
 
Bado tu hatujazizoea hizi ndege jamani mpaka serikali nzima inaenda? Ni jambo jema ununuzi wa ndege ila waziri wa uchukuzi tu angetosha kuipokea wengine wakafanye kazi zingine maana ni kuongeza matumizi bila sababu,Rais,Pm,Spika etc hawa wote lazima wasafiri na misafara au ndege kwenda huko,maandalizi na mengineyo

This is too much kwakweli.........
 
Back
Top Bottom