Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Wapinzani Mara mseme ndege za Magufuli siyo za watanzania

Leo mnashangaa nini mwenye ndege kwenda kupokea ndege zake?

Nendeni na nyie mkapokee bima za afya na visima if possible
 
Muda...11:40 - 11:50 jioni.
Tukio....kuzindua ndege😂😂
Muhusika ...itifaki/mc.
Mambo ya kishamba kweli duh!
 
nchi tajiri ishalipa deni hata kama hiyo bilion 70 ingeweza kuchimba visima vy amaji vya kutosha au kununua cT scan za kutosha,huyu mkulima alikuwa hana shida na hii nchi hata kwa hela za kulipwa kidogodogo kablwa ya wasukuma kumtimua nchini rasmi mwaka 2016 SASA KAWAONYESHA MAANA YA HAKI NI NINI.
Screen Shot 2019-12-14 at 1.23.09 PM.png
 
Sio rais tuu, naona sika, makamu wa rais, waziri mkuu..... Halafuu ni Mwanza... Hebu waza hizo gharama na usumbufu wa misafara barabarani. Bado gharama za Kabudi na mawakili walio kwenda Canafa. Hatujaambiwa mzungu kalipwa au ataikamatia tena India[emoji288]
Kwa hiyo kila ndege ikija ni lazima ipokelewe na Rais?, Hivi ni vichekesho kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio rais tuu, naona sika, makamu wa rais, waziri mkuu..... Halafuu ni Mwanza... Hebu waza hizo gharama na usumbufu wa misafara barabarani. Bado gharama za Kabudi na mawakili walio kwenda Canafa. Hatujaambiwa mzungu kalipwa au ataikamatia tena India[emoji288]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo ambayo hufahamu ni kama usiku wa giza.
 
Vijana wengi wa Mwanza watapata chachu ya kuipenda nchi yao na kuimarisha uzalendo kwa kuona kwa vitendo jinsi nchi yetu inavyoendeshwa katika mapokezi kama haya ya kitaifa chini ya awamu ya 5 ikiongozwa na JPM. Ni jambo jema kufanya mapokezi haya Mwanza ikizingatiwa kwamba viongozi wote wakuu wapo Mwanza ambako sherehe za uhuru mwaka huu kitaifa zilifanyika.

Miaka 20 iliyopita Tanzania ilikuwa kichekesho kwenye miundo mbinu ya barabara nk lakini hivi sasa tumekuwa mfano kwa majirani zetu. No one would have predicted the transformation in just 4 years.

Tanzania ni tajiri, sisi ni matajiri - JPM
 
Tunaomba kujua je tumemlipa mkulima pesa zake, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Hoja hizo zijibiwe kwanza
Mkuu Tulimumu,ukiona hakuna tambo za zile PhD za sheria kushinda kesi ujue mkulima kalipwa chake zingine ni tambo tu za ki ccm hazina madhara yoyote ila kujifedhehesha wenyewe.tu,usisahau ile ya kwanza ilipokamatwa huko huko Canada walilipa kimya kimya.
 
😊naona wamechoranga na ratiba kabisa. Haya! haya sasa mliopo airport kupokea ndege,tunaomba updates. Kwa mnao beza, niwaambie tu,hili ni tukio kubwa na mwaka huu kitaifa linafanyika Mwanza.
 
Sio rais tuu, naona sika, makamu wa rais, waziri mkuu..... Halafuu ni Mwanza... Hebu waza hizo gharama na usumbufu wa misafara barabarani. Bado gharama za Kabudi na mawakili walio kwenda Canafa. Hatujaambiwa mzungu kalipwa au ataikamatia tena India[emoji288]

Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid

Unahoji vya nchi wakati familia yako usikute imekushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Rais angekuwa yupo Kigoma, basi mapokezi yangefanyikia Kigoma?
Kwa nini nayo isipokelewe Dar, na Makamu wa Rais? Au huyo Samia ni BOYA tu?
You are extending ur stupidity, shida ni ndege kupokelewa wapi au mpokeaji?

Kila sku mnazalisha kitu kipya mmeshindwa kuhoji mamilioni ya pesa yanayotumika kwenye chama chenu kukodi kumbi za gharama alimhali wanachama mnaganga njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Back
Top Bottom