Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Kwanini wasipokee dsm au kilimanjaro
Naona mwanza mwanza sana tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeambiwa hata SGR ya kuanzia mwanza itaanza mwakani ili wakutane na hiyo ya dodoma mnasema dodoma kuna fursa hapana mwanza itakua balaa subiri uone, meli karibu tatu, daraja la bilioni 600 mwanza kumekucha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Hivi kuna maelezo yoyote jinsi ndege ilivyoachiwa? tumelipa au tumesamehewa na kama tumelipa ni kwamba deni tumemaliza au kuna hatari ya kukamatwa tena kwa kutoheshimu makubaliano.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona una kiherehere, subiri ufafanuzi nyinyi si mlisema ndege anakabidhiwa mkulima? Baada ya hii shughuli anza kuuliza maswali.

BTW Hata kama wewe sio mwanasheria fahamu kwamba hii ndege ilikuwa bado kwa watengenezaji. Yaani makabidhiano rasmi ni leo baada ya ndege kutua na kukabidhiwa rasmi kwa Serikali ya Tanzania. Huwezi kushika ndege ambayo bado ipo mikononi kwa watengenezaji. Utapata majibu yako leo hapo kwenye mapokezi. Kama hutaridhika unaweza kutafuta information kutoka kwenye website ya mahakama za Canada na kutafuta kesi hii utapata ukweli unaousaka bila kuwabughuzi Watanzania.
 
Bado tu hatujazizoea hizi ndege jamani mpaka serikali nzima inaenda? Ni jambo jema ununuzi wa ndege ila waziri wa uchukuzi tu angetosha kuipokea wengine wakafanye kazi zingine maana ni kuongeza matumizi bila sababu,Rais,Pm,Spika etc hawa wote lazima wasafiri na misafara au ndege kwenda huko,maandalizi na mengineyo

This is too much kwakweli.........
Ni aibu. Tunachoreka sana. Donor kantri msururu wa viongozi kwenda kupokea kakunguru kamoja.
 
Kwa hiyo kila ndege ikija ni lazima ipokelewe na Rais?, Hivi ni vichekesho kwa kweli
Uzuli wa mzee baba huwa hajaligi maneno yenu yy anafanya Yale anayoona yanafaa...
nadhani hata nyinyi mnalijua hilo....
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Umeambiwa hata SGR ya kuanzia mwanza itaanza mwakani ili wakutane na hiyo ya dodoma mnasema dodoma kuna fursa hapana mwanza itakua balaa subiri uone, meli karibu tatu, daraja la bilioni 600 mwanza kumekucha


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kila kitu kinapelekwa Mwanza au kanda ya ziwa kwa ujumla. Ni Rais anayetumikia Wasukuma.
 
Niko nafuatilia kwa mbali Baraka Magufuli nitafurahi kama atapewa nafasi ya kuongea.
Magufuli wa Iringa
 
Kila kitu kinapelekwa Mwanza au kanda ya ziwa kwa ujumla. Ni Rais anayetumikia Wasukuma.

Kutesa kwa zamu.Watanzania wengi wameona kazi anayofanya JPM na kuikubali. Wanao mpinga JPM kwa sababu wamekosa hoja na cha kusema, sasa wanaleta ukanda. Mtavuna mlichopanda.
 
Ivi ina uwezo wa kubeba abiria wangapi? Kuhusu kupokelewa na rais msishangae wakuu, ni ivi, legacy ya mh. Rais iko kweny mambo 3.
1. Shirika la ndege
2. Mradi wa umeme Stigglers gorge
3. Stg.
Stage toyote katika project hizi anasimama mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasimama mwenyewe uku anawafukarisha wananchi hii kwako ni sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila kitu mtatanzania akitumie, mwisho mtasema hata mashine za kufanyia upasuaji wa moyo hapo Jakaya watanzania wote wazitumie.
Lengo siyo kupanda lengo ni zinaingiza pesa?.
Mbona mnajifanya kama hamuoni?
Watanzania wangapi wanyonge walioletewa ndege watapanda mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom