Vijana wengi wa Mwanza watapata chachu ya kuipenda nchi yao na kuimarisha uzalendo kwa kuona kwa vitendo jinsi nchi yetu inavyoendeshwa katika mapokezi kama haya ya kitaifa chini ya awamu ya 5 ikiongozwa na JPM. Ni jambo jema kufanya mapokezi haya Mwanza ikizingatiwa kwamba viongozi wote wakuu wapo Mwanza ambako sherehe za uhuru mwaka huu kitaifa zilifanyika.
Miaka 20 iliyopita Tanzania ilikuwa kichekesho kwenye miundo mbinu ya barabara nk lakini hivi sasa tumekuwa mfano kwa majirani zetu. No one would have predicted the transformation in just 4 years.
Tanzania ni tajiri, sisi ni matajiri - JPM