uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Kweli aliekodi ndege kwa 54M na kuacha kununua tiketi za shs 2.6M nani mwenye akili matope sasa.
Kama ni hivi basi acha akili yangu iwe matope ila ukweli unaumaaaaaa pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivi basi acha akili yangu iwe matope ila ukweli unaumaaaaaa pole sana.
Akili matope, yaani unaona kupokea ndege ni jambo kuuubwa sana eh!! Yaani tangu tupate uhuru hatujawahi kununua ndege mpaka JPM alipoingia madarakani??!! Ushamba ni mzigo! Watu waache kazi zao wakashangae ndege? Mkuu wa mkoa alikuwa anatosha kuipokea hiyo ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app