Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Bado tu hatujazizoea hizi ndege jamani mpaka serikali nzima inaenda? Ni jambo jema ununuzi wa ndege ila waziri wa uchukuzi tu angetosha kuipokea wengine wakafanye kazi zingine maana ni kuongeza matumizi bila sababu,Rais,Pm,Spika etc hawa wote lazima wasafiri na misafara au ndege kwenda huko,maandalizi na mengineyo

This is too much kwakweli.........

Too much for you, you have no reason to get involved. Hapa kazi Tu!
 
Kipande cha mwisho cha safari ya Bombardier Q400 5H-TCF baada ya kuondoka juzi kupitia Reykyavik, Praque na Alexandria. Safari njema marubani na chombo.View attachment 1292073
Safi sana, wabongo wabobezi wapo kwenye kila sekta. JPM anatengeneza nchi wote hawa wakirudi kulijenga taifa na kuongeza uwezo wa Watanzania hakika tutafika mbali. '''Watanzania tunaweza, sisi ni matajiri'' JPM.
 
Mamilioni ya walipakodi yanateketezwa kisa kupokea ndege
 
Too much for you, you have no reason to get involved. Hapa kazi Tu!
Hii ndiyo kukosa reasoning pia na kuona kukosoa jambo ni dhambi,ila nitaendelea kuamini haina maana ndege zote zinazokuja mpya zikapokelewe na Executive,Judiciary & Parliament
 
Sijajua hapo Mshindi ni nani...
tapatalk_1576319792247.jpeg
 
Back
Top Bottom