Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
Perish the thought!
Lol, najaribu ku-guess tu mkuu. Anyway, kwa upande wangu Nyerere ni kama Obama. Longolongo nyingi lakini sio effective katika utendaji. Too much poetry.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Perish the thought!
Alianzisha taasisi za kuendeleza siasa zake. Mojawapo ni chuo cha chama cha Kivukoni. JK ni mmoja wa wahitimu kama sitakosea.
Tatizo ni kuwa siasa zake na hazilipi. Na mabadiliko ya kisiasa duniani yalipotokea, wale waliokuwa kwenye siasa hawakuwa na profession yoyote ya ku-survive nje ya siasa. Hivyo wamebaki kuwa mafisadi, case in point Lowassa, JK etc.
Unaposema hazilipi unamaanisha nini?
Legacy alioiacha hakuna kiongozi africa na tanzania atakayeweza kuendeleza.
Mfano tu viwanda, wakati wake alijenga zaidi ya viwanda 400 vya huduma na bidhaa muhimu.
Leo vipo wapi?
Nitajie top 5 CEOs or General managers ambao walivifanya kazi nzuri sana ya kukumbukwa Tanzania au Africa.
Simjui hata mmoja.
Steve Dii, long time no see. Umepotelea wapi? Kwa wale watakaotaka kujua ilikuwa ni mwaka gani. Ibrahim Kaduma was the foreign minister then.I'm touched! Thanks a ton for sharing Ngabu, thanks!
Jamani, mbona mnasahau hata Kikwete alipanda carriage ya farasi Canada alipokwenda kusaini mikataba ya kulinda maslahi ya wawekezaji wa Canada?Na kama umeangalia vizuri, hapo kwenye horse-drawn carriage wakati wapo barabarani watu walikuwa wanashangalia.
Kwa kweli alipewa heshima kubwa sana.
Kitengo kilitakiwa kiweke mizani yakumpima rais kwa standards za Nyerere.
Hivi kwanini Nyerere hakutengeneza Nyerere wengine wa miaka 50 ijayo?
Sasa Tanzania tunasumbuka na marais wa ajabu sana.
Alianzisha taasisi za kuendeleza siasa zake. Mojawapo ni chuo cha chama cha Kivukoni. JK ni mmoja wa wahitimu kama sitakosea.
Tatizo ni kuwa siasa zake na hazilipi. Na mabadiliko ya kisiasa duniani yalipotokea, wale waliokuwa kwenye siasa hawakuwa na profession yoyote ya ku-survive nje ya siasa. Hivyo wamebaki kuwa mafisadi, case in point Lowassa, JK etc.
Mwaka gani hii ilikuwa?haya ya Jimmy Carter pia yalikuwa makubwa
Sijui ni mwaka gani lakini kwa muonekano wa Nyerere [mvi na uso kuanza kuwa na makunyanzi[ naweza kusema labda ni miaka ya 70 mwanzoni mwanzoni.....