Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

Ikohivi... Ukimsifu mtu kwatuvitu tudoogo hatohangaika kuwaza name kufanya makubwa!! Wapumbafu hilo huwa hawalioni
 
Kwa hiyo hutaki tumpokee na kumpongeza Rais wetu au?

Ulitaka apokelewe baba yako au? Pumbavu,haters mtakufa kwa pressure bure..

Mda uliotumia kuandika upupu ungetumia kutafuta pesa usingekuja na malalamiko ya kipumbavu hapa.
 
Ukiona harakati za namna hii, ujue kuna jambo kiuongozi haliko sawa. Hivyo kuna makundi ya watu wanahangaika/wanalazimika kumtia moyo mama hata pale anapoharibu au ameshindwa kufikia matarajio ya Watanzania walio wengi
Matarajio kama yapi? Haya hapa chini ni matarajio ya mbupu zako? 👇



































 
Kila siku mnahubiri mihimili ya nchi ISIINGILIANE.....

Unataka mh.Rais AUINGILIE MUHIMILI WA MAHAKAMA VILE UPENDAVYO?!!!

SIEMPRE JMT
 
Wapigaji kwa sasa wanapata kirahisi fulsa kupiga hela ya umma. Kama wanathubutu waseme hela ngapi wanatumia kwa huu ujinga eti mapokezi ya mama toka UN. Nyerere mwenyewe kutoka uno kutudaia uhuru tulimpokea kwa matawi ya miti walala hoi wakaonyesha furaha sio mtu kaenda eti kuonesha yeye ndio rais mpya mwanamke tz mnataka kupiga hela kumpamba uongo.
 
Wewe upo Lumumba unasema zimeshatengwa. Sisi tuliopo shambani hizi ahadi tumekuwa tukizishuhudia tangu miaka ya 1980.
Maneno matupu,vitendo hamna.
Endelea kujitoa akili ili choo kiendelee kutumika.
Mkuu umejawa hisia sana...

Uwepo wangu Lumumba unaniondoa vipi nisiyajue maisha ya vijijini?!! Khaaa 😲🤣
 
Wewe ndondocha gharama umeona zipo wapi???
 
Kwa spidi hii tutarajie siku moja kutakuwa na pongezi ya Mheshimiwa kutoa ushuzi wenye sauti maridhawa. Maana kila kitu kimekuwa tukio la kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…