Mapokezi ya Yanga: Mabango yenye picha ya Rais Samia yapuuzwa, yakanyagwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Pamoja na juhudi kubwa za Mamluki walioingilia mapokezi ya Yanga kuchomekea mabango yenye Picha za Samia Suluhu (Haifahamiki Malengo yao) lakini kutokana na Wingi wa Watu kwenye eneo la Uwanja wa ndege, mabango hayo yameishia kupuuzwa na kukanyagwa na wananchi waliojazana uwanjani hapo.

Wala hakuna aliyeyaokota baada ya kukanyagwa.

Unadhani kwanini wananchi wamepuuza huu ujinga wa Mabango?

Pia soma: Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa
 
Picha
 
CHADOMO MNA VISA SANA BANGO GANI LILILOKANYAGWA?, MAFANIKIO HAYA YA KIHISTORIA YAMECHAGIZWA NA RAIS WETU DR. SSH KWA 100%.
 
Mama inaonekana anawakimbiza mpaka mnaishiwa pumzi;

Naona umejijibu mwenyewe, ''....lakini kutokana na uwingi wa watu mabango hayo yameishia kupuuzwa na kukanyagwa na wananchi waliojazana uwanjani hapo"

Unategemea nn kwa uwingi huo wa watu tena wenye mhemko kiasi utaratibu hakuna?!!!
Mbona husemi kuhusu muda? Kwamba ilikuwa usiku!!!

We unachoweza ni kutuma picha za 'mwamba' wenu mbowe basi, si zaidi.
 
Unafanya siasa nyepesi sana ndio maana tunasema upinzani ni mwepesi kuliko unyoya.
Tafakari.......Tukiweka maandishi yako kwenye mabano, automatically utayaona yanageuka na kusema.....
[Hawana Dhamira]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…