Mapokezi ya Yanga: Mabango yenye picha ya Rais Samia yapuuzwa, yakanyagwa

Bila picha ,utoe upuuzi wako. Kamwe bango la Taisi Samia haliwezi kukanyagwa .
 
SIASA KWENYE MPIRA HAIKUBALIKI FIFA HAITAKI UJINGA HUO
 
Sehemu ya ardhi ya Bagamoyo ni mali ya Zanzibar na hairuhusiwi mtu yeyote kuingia na kujenga pale.
Wenye akili unganisheni dots hii timing, wasio na akili endeleeni kushabikia kulambishwa asali
 
bora hayo yamekanyagwa... Yenye picha ya mbowe lissu na lema yalikojolewa yakapata mimba ya upinde
 
bora hayo yamekanyagwa... Yenye picha ya mbowe lissu na lema yalikojolewa yakapata mimba ya upinde
Sasa hii ndiyo akili halisi ya mtanzania. Fuvu bovu Kama lako hata kuku anakuongoza bila kupata shangamoto yoyote
 
Sioni ubaya wa mabango hayo kuwepo kwenye mapokezi ya Yanga, mama ametoa hamasa sana kwa Yanga katika mashindano haya, kwa hili amestahili pongezi.
Uongo
Hamasa haichezi. Hii ni kiki ya kisiasa
Hiyo hamasa ingekua inacheza Simba wangekua nao final kwenye caf champions league, au taifa stars tungechukua world cup
 
Mpaka hapo upinzani nao waende na timu zingine ndipo atajua hajui,

Toka mwanzo yalisemwa ke mambo makubwa kuyamudu tutakwama mahali.
Siyo muda tutaambiwa ajira serikalini mpk uwe na kadi ya hiyo timu. Na maofisin tuvae jezi zao
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Video yakikanyagwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…