Sweety zai
Member
- Jan 10, 2018
- 7
- 10
Mi nakutaka wewe nikupige bondage moja matata.Maliza hapa dukuduku lako na povu lako zito kwa member wa JF kwa kumtag na kumwambia ukweli mtaje member unayeona ni kero hapa JF na umwambie ajijue.
Tia neno kidogo!
HahahaMi nakutaka wewe nikupige bondage moja matata.
mguno uliotoa na hako kapicha ulikoweka na mvua hizi do!
Mvua wapi huko mbona huku hamnamguno uliotoa na hako kapicha ulikoweka na mvua hizi do!
Sina kabisa acha nigune tuTia neno kidogo!
Teh teh tehYani hapo ndio umeingia JF tarehe 10 hata wiki haijaisha.
mvua ipo nchi nzima we wapi huko hakuna!Mvua wapi huko mbona huku hamna
mguno uliotoa na hako kapicha ulikoweka na mvua hizi do!
How?Huu uchochezi
mtani wamekufungulia eee..afadhali
Ndio nilifunguliwa Jumamosi 13/1/2018mtani wamekufungulia eee..afadhali