Maproducer bora wa muziki kwa wakati wote, achana na wa kizazi hiki

madini na nusu
 
Baada ya miaka 10 pia tutakuja kuwasifu hawa wa sasa tunaowaponda,huku tukiwaponda wataokuja.
hakuna aliewaponda, kila zama zina watu wake, hiyo list kwa hawa wa sasa wanaonekana kama hawajui au teknolojia imewaacha, ni zamu ya hawa wa sasa, ila bila hao wa zamani hawa wa sasa wasingepata njia
 
Dunga pia yupo kwenye list
 
List ya Producers kama haina Enrico wa Sound crafters hiyo ni fekero!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila zamani walikuwa wapo vizuri,nyimbo moja ina tengenezwa na vichwa zaidi ya vitatu mf kwa Majani kulikuwa na akina Lamar,Duke,Prof Ludigo,Soggy Dog Hunter mwisho Majani naye anaongezea ujanja wake na kufainalize kabisa.

Siku hizi producer mmoja anamaliza kila kitu,ndio maana wanawahi kuchuja na mwisho wa siku wanaishiwa.
 
Lamar ameshakuwa mama lishe , ana mgahawa wake , na pia ana yard ya kuoshea magar (car wash) , mambo ya mziki ni kama ashayaweka pembeni
Kwa mujibu wao wanadai uproducer haulipi zaidi ya kuwa maarufu tu.
 
wanajiita multitasking, mazombie
 
amba yuko juu ya master j? au sababu ya naipenda hip hopp

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
KGT G records
Man water Combination sounds
Amber
Said Comorien
Mika Mwamba.
Majani
Dunga.

Etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
amba yuko juu ya master j? au sababu ya naipenda hip hopp

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
hiyo ni list tu imepangwa na haijazingatia nani wa kwanza na nani wa pili, take it easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…