Maproducer bora wa muziki kwa wakati wote, achana na wa kizazi hiki

hamsahuriki fanyeni mnachoona kwenu ni sawa
Ni kweli kabisa, kuna baadhi ya maproducer wanaharibu muziki wetu na hivyo kusababisha oversaturation ya muziki wetu kwa ujumla. Hii inapelelea hata mimi kuanza kuventure kwenye audio post production, live sound setup na sio kutegemea production ya muziki
 
THE GENERATION OF BEATMAKERS THAN PRODUCERSπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Naongeza.
Enrico - Serena alicom, nyimbo za q chila - ulinikataa. Nk

Bon love - Mabinti dam dam, bush party solid ground.

Produder Roy wa G records - vailet matonya, mpenzi gita, blue,mapozi mr blue, baridi enika, Maria ab skills, mimi na wewe ab skills, ice cream noora nk.
Huyu marehemu yupo kwenye top 5 ya producer bora tz.

Amit mento - vituko uswahili suma g.

Kameta - nyimbo za mr nice kuku kapanda baskeli.

Said comoroen.
 
naongeza na hzi
Anita ya matonya
Mr. politician ya nakaya
lugha gongana ya norah
 
fundi samweli unamuachaje
 
Lamar ameshakuwa mama lishe , ana mgahawa wake , na pia ana yard ya kuoshea magar (car wash) , mambo ya mziki ni kama ashayaweka pembeni

kijana aalikuwa vizuri, anyway maisha nikuchagua... na sasa ndio uchaguz wake kukaa mbali na industry ya muzika maana muziki unataabu zake!!
 
noma noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…