Maproducer bora wa muziki kwa wakati wote, achana na wa kizazi hiki

yule jamaa anajua na movement zake nazikubali, BACK2SUA Ni bonge moja la idea, pia alishawahi fanya SUA BACK2MWANZA 2012 huko ilikuwa poa sana
Sure, ile ya SUA ilitisha sana mkuu! Utengwaji palitisha watu walikuwa wanatoka dar kuja kwa event za sua
 
Kidbway kuna ngoma alimtengenezea Hussein Machozi ilikuwa kali kinyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…